Hivi vyeti NIT wanaanza kutoa mwezi gani? Nacte ilizuia ukiritiba wa kukalisha watu mwaka mzima wakisubiri vyeti, vyuo vingi wanatoa vyeti immediately after graduation, sa hawa cjui wana utaratibu gani, CBE mwezi mmoja baada ya matokeo kutoka wanatoa Transcript wenzetu NIT ndo kwanza kabisa,kuna...
Mnapoandika ebu weka evidence, VAT inakatwa kampuni si wewe,tatizo wabongo ni kuzusha tu, sa kabla MTU hajajibu nunua vocha ya elfu 2 au 5 au mia 5 uweke uone je Salio lako litakatwa? hasa tigo, tatizo mkiongeza Salio ikakuandikia umeongeza shs kadhaa na VAT ni kadhaa hamuangalii ka salio...
Acha upotoshaji uliokithiri,elewa alichoongelea WAZIRI msiwe wapotoshaji tu,hakuna alipozuia diploma holders kujiunga na degree ye kazuia watu wenye diploma ambazo GPA zao haziruhusu kusoma foundation course na kudailiwa kusoma degree,jaribu kutofautisha hayo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.