Recent content by Ngwasa Omuyaya

  1. Ngwasa Omuyaya

    Ukimya ni usaliti

    Mfalme Suleiman aliomba hekima na busara na akapewa,sijui huyu malkia wetu yeye aliomba nini yaani alishindwa kutumia japo busara kidogo aliyopewa na Mungu. Hata ile kamati kuu yao ni kama haina wazee wenye busara wametoa matamko ya hovyo hovyo katikati ya majonzi , hata yule Mzee Wasira naye...
  2. Ngwasa Omuyaya

    Je, ni kweli kuna majini?

    Nilisoma shule ya Bweni , Mara nyingi tulikuwa tunajisomea usiku ,kuna siku tukitoka darasani usiku tukiwa na rafiki yangu tumefika mpaka maeneo ya Bweni tunapolala , ghafla jamaa naona kasimama namwambia vipi huingii ndani kimya haongei kitu , niliona anatimua mbio huku akisema leo utaona, na...
  3. Ngwasa Omuyaya

    Je, ni kweli kuna majini?

    Hii Dunia ina Mambo....Aiseeh...!
  4. Ngwasa Omuyaya

    Ukitaka kujua ufisadi wa CCM angalia kiasi hiki walichotoa USAID mwaka 2023. Kwanini bado tunalipia huduma za afya?

    Hawa CCM hawafai kabisa, Mama mjamzito anakosa huduma muhimu na kusimangwa kumbe kuna pesa nyingi tu zinatolewa . Alafu kesho huyu huyu Mama anaipigia kura CCM, bure kabisa.
  5. Ngwasa Omuyaya

    CHADEMA amsheni watu kwa kauli za kina Chalamila kwa mjamzito kwamba kama hatoi Shs 50,000 arudi nyumbani mume wake amkate kwa kisu na mkasi ajifungue

    Mkutano wa nishati ukiisha naye afurushwe kwenye ofisi za Umma, hafai kuwa kiongozi wa wananchi.
  6. Ngwasa Omuyaya

    Uteuzi wa Albert Chalamila upitiwe upya, ufafanuzi wake hauna mantiki

    Mama Mjamzito kanyanyaswa sana, tena na Kiongozi mkubwa anaye muwakilisha Raisi. Huyu uteuzi wake ulifaa ukome tangia Jana hafai kukalia zile ofisi za wananchi.. Wameingia gharama ngapi kupeleka wasanii Dodoma , wanashindwa kumsaidia huyu mama Mjamzito.
  7. Ngwasa Omuyaya

    PreGE2025 Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?

    CCM inachowafanyia wajumbe wake ni mambo ya zama zile za giza. Siku wakiamka ndiyo Siku watajua kutandika Kitanda.. Acha waendelee kulala.
  8. Ngwasa Omuyaya

    Nimeumia sana na sijafurahishwa na ushindi wa Tundu Lissu

    Badala ya kutoa hoja naona unabwajaja tu.
  9. Ngwasa Omuyaya

    Miezi 7 since October 7 2023: Hizi ni Video za matukio ya kikatili yaliyofanywa na magaidi wa Hamas, Israel wana kila sababu kudeal nao

    Wote waliofanya huo unyama na wao pia wameuwawa,kichapo kilichofatia baada ya huo uvamizi imebaki kuwa habari nyingine.
  10. Ngwasa Omuyaya

    Kwanini Mdude Nyagali anatumia lugha za kumdhalilisha Rais wetu pasipo kuchukuliwa hatua? Naumia sana moyoni mwangu

    Chawa wa Mama,unaumia matusi badala ya kuumia raslimali za nchi zinauzwa kiholela, Uchumi uko taabani mtaani hali ngumu, mtu wa ajabu sana wewe.
Back
Top Bottom