Recent content by Ngwanashigi Gagaga

  1. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ilani za CCM huendana na umahiri/uthubutu na uchapakazi wa mgombea? Ilani ya 2025/2030 watanzania tuikataeni

    Utaupata kwa kuchagua Ilani iliyoahidi. Chagua CCM iweze kutekeleza hilo na mengine mengi.
  2. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ilani za CCM huendana na umahiri/uthubutu na uchapakazi wa mgombea? Ilani ya 2025/2030 watanzania tuikataeni

    Pole Mtanzania mwenzangu. Nimeangalia kwenye Ilani Kilimo na Mifugo zimetajwa na mahali pengine imerejewa kuwa CCM itatekeleza vipaumbele vilivyo kwenye Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ninaomba uangalie zote zimeambatishwa kwa wepesi wa rejea. hata hivyo , zipo aina mbalimbali za uandishi na...
  3. N

    JamiiForums Tanzania ACT: Hatutafuata Maelekezo ya Msajili kumtengua Mpina kuwania Urais, tutafungua kesi Mahakamani

    Muda wa kuchukua na kurejesha fomu unaisha leo tarehe 27 Agosti 2025. Ninadhani haiwezekani tena hiyo imetoka.
  4. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo huenda akashinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Kigoma Mjini

    Huwezi kushinda Ubunge kwa kituo kimoja cha Kupigia (Tawi) Kura, kwa takwimu hizi ulitakiwa kusema ameongoza au to mkeka wa vituo au matawi yote.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Daraja la jp magufuli (kigongo-busisi ) lafikia asilimia 96.3, kukamilika februari 2025

    Hongera kwa Ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025, hongera JPM, hongera sana SSH kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM na kukuza uchumi wa kanda ya ziwa kupitia daraja hili. Watu wa kanda ya ziwa tunashukuru sana na tunadaiwa na CCM.
  6. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyetuhumiwa kupanga kumfukuza John Mrema CHADEMA akanusha

    Yamekuwa hayo kwa Mkurugenzi! Msigeukane tafadhali.
  7. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bado kuna Fukuto la kwanini Samia hajapitishwa kwenye Chujio !!!

    Sa Samahani ninaomba kuelimishwa kifungu cha katiba au kanuni za uchaguzi za CCM zilizokiukwa.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Rais samia ni mchapa kazi anayewagusa Watanzania wote

    Hakika, na mengine mengi ikiwemo mambo mapya (ongezeko la watalii, ruzuku ya mafuta, madarasa ya kutosha bila kuchangisha), kuendeleaza miradi ikiwemo ya kimkakati (mradi wa Mwalimu Nyerere wa umeme, daraja la baharini salander, Busisi, barabara na madaraja, vivuko ,meli), kuimarisha uchumi...
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Utabiri: Martha Karua atakuwa Rais wa 6 Kenya kabla ya Raila kumaliza muhula wake wa kwanza kama Rais

    Raila ni presidential material na atashinda Ruto ni mchafu kama EL hafai.
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Sasa ni rasmi kuwa huko Kenya katika '2022 General Election' ni Vita kati ya Kikuyu na Luo dhidi ya Kalenjin na Luya

    Tayari Kenya imepiga hatua ,kitendo cha Gikuyu na Luo kufanya kazi pamoja 2002 na 2022 ni hatua kubwa sana!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson alamba kura zote asilimia 100, aapishwa kuwa Spika wa Bunge

    Hapana ,CCM inazingatia sifa za wagombea, jaribu kulinganisha sifa za Mhe.Dr. Tulia na wapinzania wake kuna tofauti kubwa mno!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

    Kwa nini usiseme mawziri wawili (2) na manaibu watatu(3), tunatia chumvi sana watanzania!
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania kinara wa Utalii Afrika 2022

    Hongera Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa uongozi mahiri na kutuweka namba 1 Afrika. CCM Oyee.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuhamia Dodoma haupo tena, turudi Dar

    Uamuzi huo kweli ulikuwa wa mtu mmoja ambaye ni halmashauri Kuu ya TANU awamu ya kwanza ya Mwl. Nyerere, na ni huyo huyo mtu mmoja alianzisha Sheria ya Usawishaji Makao Makuu na CDA tena akiwa Chekechea, na mtu huyo huyo aliaandaa waraka wa baraza la Mawaziri, akaingia IMCT, akatunga sheria ya...
Back
Top Bottom