Mkristu wa kweli hawezi kumuita mtu wa dini nyingine "kafiri". Hivyo ndivyo inavyokuwa katika dini ya Katoliki. Kanisa Katoliki hushughulika na kutangaza mema yake tu na siyo mabaya ya dini nyingine. Pamoja na kwamba kuna madhehebu yanayolivalia njuga kutangaza mabaya ya Kanisa Katoliki, lenyewe...
Umejibu vizuri sana. Wakristu tunamfuata Yesu, ambaye alizaliwa huko Israeli na kufanya kazi zake zote huko. Tutenganishe kumpenda Yesu na kuipenda nchi yake ya Israeli; sawa na mfano uliotoa wa kuipenda Serengeti na kuipenda Tanzania. Kwa Katoliki, Kanisa linamkubali Yesu lakini lilikuwa...
Swali zuri sana. Aliyekuwa amebet Senegal, tayari alikuwa amepewa hela yake. Sasa baada ya siku 58, sijui kama wataenda kumnyanganya huyo wampe aliyebet Morocco?
Ningekubaliana na uamuzi huo kama Senegal wasingerudi kabisa uwanjani, na Refa akapiga kipenga kuashiria mwisho wa mchezo. Hata kama Senegal wangekuwa wanaongoza, baada ya kipenga hicho wangestahili kupokonywa ushindi. Lakini ilivyotokea ni kwamba Senegal walitoka nje; baadaye wakajitafakari na...
Mkristu mwenzangu, elimu yako inakufanya usisadiki hilo la mtu kumezwa na samaki na kutapikwa baada ya siku tatu akiwa hai. Kwa nini elimu yako hiyo hiyo inakufanya uamini kwamba Yesu alikufa, akazikwa na siku ya tatu akafufuka? Vivyo hivyo na miujiza mingi kama kutembea juu ya maji; kuponywa...
Si sahihi kumfukuza kazi na baadaye kumfikisha kwenye vyombo vya sheria kwa hatua zaidi. Anza na kumfikisha kwenye vyombo vya sheria, na akipatikana na hatia, sheria ichukue mkondo wake.
Aidha, hatujaelezwa makandokando yaliyomfanya daktari afanye upasuaji huo hapo nyumbani (kwa mgonjwa?). Labda...
Umesahau Waziri Mkuu Sokoine alivyowavalia njuga mafisadi wakawa wao wenyewe wanatoa mali za ufisadi na kwenda kuzitupa mtaani kabla ya kukutwa nazo nyumbani mwake.
Hata hiyo miezi mitatu ni mingi mno kwa kitu rahisi kama hiki kisichohitaji kufanya utafiti. Iliyopo ni kazi ya kiutendaji tu, kupitisha kunakohusika na kutangaza kwenye Gazeti la Serikali.
Kuna Mungu mmoja tu mwenye nafsi tatu: Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu. Yesu ndiye nafsi ya pili ya Mungu. Alitungwa mwili kwenye tumbo la Bikira Maria, akazaliwa baada ya miezi tisa, sawa sawa na sisi binadamu wengine. Aliteswa, akasulubiwa, akafa, akazikwa. Yote hayo yalitokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.