Jambo ambalo lililopo udom ni kumuondo Philipo Mwakibinga ambae anamlengo wa chadema na jambo hili linaonekana tokea wiki iliopita utawala walipanga katika kikao cha siri na viongozi wa chama cha mapinduzi na katika mgomo huo imepelekea mwanafunzi mmoja kuaga dunia.
wanafunzi wameamua...
Jambo ambalo lililopo UDOM ni kumuondo Philipo Mwakibinga ambaye ana mlengo wa CHADEMA na jambo hili linaonekana tokea wiki iliopita utawala walipanga katika kikao cha siri na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi.
Wanafunzi wameamua kutoingia madarasani mpaka hapo watakapomuona waziri mkuu wao huyo...
Subirini tarehe 14/12/2014...mpigwe kwanza serikali za mitaa ndo mje na visingizio ooh tumerogwa,nyooo watanzania hawakupiga kura,uuuu tumeibiwa na sababu zingine za kitoto toto
Mawazo anatuhumiwa na jeshi la polisi mjini Geita kuwa juzi aliteka makachero wao kwa kutumia red brigade na kuwaweka kwenye gari la mbunge Halima Mdee lenye vioo vyeusi na kuanza kutokomea nao porini kusikojulikana.
Jeshi la Polisi lilitumia nguvu ya ziada kulitangiza gari hilo na kumwamuru...
Wazee wa jimbo la Magu wamemiita bw Renatus pamba kwa tiketi ya chadema ambaye sasa ni diwani wa sinza ili wamsimike rasimi kuwa Mtemi wa jimbo hilo wiki ijayo zoezi hili la kimila limekuja pale ambapo wazee wa Magu walipo muomba kijana wao huyo aje agombee ubunge jimbo hilo ambalo hivi sasa...
Wewe ulikuwa mshindi lakini heche alisema wewe ni mtoto wa kike huwezi kuongoza Bavicha mimi nilikuwa mjumbe na nilikupigia Kura sasa hivi heche analia kanyimwa Unaibu katibu mkuu heche ni kichwa maji hawazi hata kuwa kurugenzi ya habari anaomba apewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.