Ubabe wa Alphonce Mawazo utaigharimu CHADEMA

Ubabe wa Alphonce Mawazo utaigharimu CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Makamanda jana tuliwakamata vijana wawili wakiwa wanarecord mkutano wetu......,Kuchunguza simu zao tukakuta wanawasiliana na OCD...tena anawaauliza Halima MDEE kashapanda?

Tulichukulia swala hili kwa uzito mkubwa sana na tuliamua kuwabana zaidi iliwaseme nani kawatuma??.....Wakati tunajiandaa kutoka nao iliwakapate dozi nzuri zaidi, Tulizuiwa na Askari wakiwa wanataka kukagua gari yetu.Baada ya kuvutana nao tukaamua kwenda polisi na tukawaweka ndani kama wahalifu.

Asubuhi leo tukiwa tunajiandaa na safari wakamata gari ya Mh: MDEE pamoja na Dereva wakimtaka awaoneshe Tap recorder yao,wakampeleka kituoni.

Ndipo tukachukua hatua za kwenda kituoni kujua nn kinaendelea,na je kumbe wale tulio wakamata ni watu wa Jeshi la Polisi??. Baada ya mazungumzo kuanza kumbe wale jamaa ni Askari tena Usalama kabisaa....OCD na OCSAD wamekiri hilo kuomba radhi kwamba wamekosea...,Hivyo tuwarudishie Tap recorder yao cz ni mali ya Serikali.

Wameingia upepo sana,na wamesha achia gari ila wanaomba tusije kumwaga unga tuwape kifaa chao.....,Kimsingi hii salamu imfikie Kova na Mangu popote walipo,na wawape onyo kali vijana wao kuacha kuingilia Mikutano yetu kwakuwa ni mikutano ya Amani kabisaa..

Napia wajue tupo makini na tumejipanga kuliko wanavyofikiri wao...,Kama tunaweza kuwakamata mpaka wao
 
Kachero makini hawezi kutambulika kuwa anafanya ujasusi ndiyo maana huwa hawajitambulishi.

Kama walitaka wasikamatwe walitakiwa kujitambulisha rasmi kuwa wao ni polisi na hapo wangepewa heshima zote za kisheria kama askari polisi. Kama wameenda bila kufahamika na wakawa wanafanya mambo yasiyofahamika na yanayotiliwa mashaka kwa nini wasiwekwe chini ya ulinzi? Nani atakuwa na uhakika kuwa ni polisi?

Polisi wanachotakiwa kufanya ni kuwafukuza kazi makachero hao maana inaonekana hawajui kazi yao.
 
Wanataka Ku edit uwekwe wa ugaid tena..... Eti polisi ana record? Upuuzi mtupu na wala hawajatekwa

Kuna kosa kurekodi mkutano wa hadhara? Mnachofanya ni kuuhadaa uma kwamba mko makini kitu ambacho it's wrong
 
Walikua wanarekodi kwa manufaa yanani na kwanin warekodi au wana chombo cha habari wamekianzisha sasa walikua wanatafuta habari?
 
Wewe vipi?

Wababe na Madikteta ndio mpango wa CHADEMA, kama unataka tofauti.. ondoka CHADEMA.
 
Polisi watekwe na Red Brigade inawezekanaje? Ina maana hao polisi hawakupitia mafunzo Moshi?
 
Habarini wakuu..

Napenda kukanusha habari iloletwa jukwaa la siasa na ndugu NG'WANA KWANGO.
Napenda ifahamike kuwa tukio hili si la kweli na halipo... Mleta Uzi amelenga kuchafua mwenyekiti wangu kwa kuwa tu kawa mwiba mkali sana kwa ccm mkoani geita.

Dereva wa Halima Mdee yuko huru na si kweli kuwa wapo selo na wenzake.

Asanteni

Asante kwa Taarifa mkuu.
 
Polisi watekwe na Red Brigade inawezekanaje? Ina maana hao polisi hawakupitia mafunzo Moshi?

Mafunzo gani kulimbia asubuhi na kwenda mabogini kwa miguu kulenge shabaha ndio mafunzo hayo. We waambie unajua karate na judo uone kitakachotokea.
 
Polisi watekwe na Red Brigade inawezekanaje? Ina maana hao polisi hawakupitia mafunzo Moshi?

ww unafikil kuna police apa tzee wanatrot siku 2 kutoka ccp hadi mabogin na kujifunza kulenga shabaha tayar wanapewa gwanda waende front line
 
teh! teheee! hawakuwa polis hao walikuwa wamejivalisha tu hao niwanaccm wazuri sana.
 
Mawazo yuko sahihi tena CCM nyie mnaitaji bakora kwelikweli, pia police kama walitekwa walitakiwa kufanyiwa kitu mbaya sana ningekuwepo mimi ningewashughulikia barabara. CCM mnasahau mnavyo wafanyia watu dhambi wakiwa magerezani mpaka dunia inajua, nimeisha wambie mie nitawachalaza bakora.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom