ng'wana kwando
Member
- Oct 8, 2014
- 21
- 2
Mawazo anatuhumiwa na jeshi la polisi mjini Geita kuwa juzi aliteka makachero wao kwa kutumia red brigade na kuwaweka kwenye gari la mbunge Halima Mdee lenye vioo vyeusi na kuanza kutokomea nao porini kusikojulikana.
Jeshi la Polisi lilitumia nguvu ya ziada kulitangiza gari hilo na kumwamuru Mawazo waende polisi kituoni, Mawazo aliwapora polisi hao wawili vifaa vyao vya kazi zikiwemo simu mbili na tape recorders mbili walizokuwa wanazitumia kurekodi Mkutano uliokuwa ukifanyika Geita mjini stand ya zamani.
Jana Polisi walimweka ndani dereva wa Mdee na viongozi wengine kwa masharti kuwa hawatawaachia mpaka Mawazo aletwe kituoni hapo.
SWALI LANGU NI KWANINI MAWAZO ASIJIHESHIMU KWA NAFASI YAKE YA MWENYEKITI WA MKOA NA KUIACHA RED BRIGADE IWAJIBIKE?
HAONI KWAMBA ANAJENGA UADUI NA JESHI LA POLISI NA CHADEMA GEITA WAKATI WALIISHI KWA AMANI NA USHIRIKIANO MKUBWA?