Red brigade, halafu mnawateka polisi,
CDM hamwonyeshi utofauti ambao watu wanategemea
'utawala wa sheria'
leo hii hammiliki jeshi la aina yoyote lakini mmeunda red brigade-- tayari mnamaanisha kuendwleza utawala wa mabavu, kitu ambacho mnailalamikia ccm kila kukicha.
mnawateka polisi leo sikisa wamerecord mkutano,,, si itakuwa rahisi sana kwenu kuwateka raia watakakipinga chama chenu? ,,, tofauti yenu na ccm mnayoinadi ni ipi?
mnaonyesha tu kuwa pengine mtakuwa wabaya zaidi ya wenzenu.
Nilifikiri cdm mtalikemea hili lkni badala yake mnalichekelea,,,,,,, hamuaminiki kabisa,,,
nadhani mna mambo yenu yasiyo ya kitaifa.
disappointing'