Recent content by Nguza junior

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wazo la leo wakuu!!!

    Hata mtu awe mwehu vipi hawezi kuingia jeshini
  2. N

    JamiiForums Tanzania Juma Nkamia: JamiiForums inachafua na kuwagawa Watanzania

    Mbunge wa Kondoa Kusini, Juma Nkamia (CCM) ataka JamiiForums IFUNGIWE NA SERIKALI |
  3. N

    JamiiForums Tanzania Juma Nkamia: JamiiForums inachafua na kuwagawa Watanzania

    Ngoja nikipata nitaiweka msiwe na shaka
  4. N

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa nchi

    Yaaani hilo ndo tatizo kubwa hela inayokuwa allocated sekta tofauti kwaajili ya maendeleo unakuta zinaishia kwenye matumbo ya wachache tu sasa lini nchi itakua....
  5. N

    JamiiForums Tanzania Juma Nkamia: JamiiForums inachafua na kuwagawa Watanzania

    Kuna sehemi nimesoma sijui waziri gani amesema jamiiforum inachochea malumbano
  6. N

    JamiiForums Tanzania Sex ni bora kufanya kabla au baada ya kuoa

    Yaaaani miaka inavyozidi kwenda ndo ilivyo ukichelewa chelewa utakuta mwana si wako
  7. N

    JamiiForums Tanzania Juma Nkamia: JamiiForums inachafua na kuwagawa Watanzania

    Mimi ninaona hawajui maana ya freedom of expression.... Na mitandao mingine wafunge basi
  8. N

    JamiiForums Tanzania Sex ni bora kufanya kabla au baada ya kuoa

    Akisema haridhiki ujue hapo hana jipya zaidi ya kusema kakuchoka tu maana kama mmefanya na mmeishi pamoja ina maana mlikubaliana.....
  9. N

    JamiiForums Tanzania Sex ni bora kufanya kabla au baada ya kuoa

    Siku hizi unaweza kutofanya kabla ukisubiri baadaye akala mwingine...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Sex ni bora kufanya kabla au baada ya kuoa

    Yaaaa siku hizi utamu kwanza ili kujua nani anafaa na nani hafai maana mwisho wa siku unaishi na mtu milele isije kujuta bure....
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ubora wa vyuo

    Nchi yetu inashindwa kuboresha vyuo vyote kuwa na kiwango sana.... Mfano vyuo kama kampala university ambacho hadi masters degree yake imefungwa
  12. N

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa nchi

    So u mean uchumi unakua sana ila wananchi wanazidi kudidimia havihusiani.... Wht about per capita income ya nchi
  13. N

    JamiiForums Tanzania Sex ni bora kufanya kabla au baada ya kuoa

    Dunia ya siku hizi ni ujanja maana unaweza kubambikiziwa kitu sio chako
  14. N

    JamiiForums Tanzania Sex ni bora kufanya kabla au baada ya kuoa

    Ila kwa majanga ya siku hizi usipotest mapema unaweza kuuziwa mbuzi kwenye gunia
  15. N

    JamiiForums Tanzania Sex ni bora kufanya kabla au baada ya kuoa

    Hahaha kwenye ndoa itakuwaje msifanye tena
Back
Top Bottom