Hakuna sababu ya kumtia ndani badala yake wangehuzunika na kumsitikia madhara atakayopata endapo atapata ajali Kwa kukosa BIMA ambayo ni tahadhari kwake sio polisi
Hapa yanatakiwa maamuzi magumu kama ilivyofanyika Tanga hawa jamaa wakiachwa Kwa zaidi ya mwaka wajenga kautamaduni na ukweli utawekwa.Mungu atuepushe na hili B haramu
Mtawaonea Tu Kwa mara nyingi fedha hazitoki sawasawa na zinavyoombwa ktk budget na hivyo kushindwa kutekeleza majukumu yao.Mfano mzuri ni kushindwa kwwa OPRAS
Inawezekana Chadema walikuwa sahihi na Sera yao ya utawala wa majimbo ili sehemu kubwa ya raslimali ndani ya jumbo zitumike Kwa maendeleo ya jumbo Kwa sasa miradi ya maendeleo inategemea maamuzi ya kisiasa na watu wachache tu
We mtu wa ajabu watu wananyimwa uhuru wa mikutano nchi nzima halafu unauliza wako wapi? TUwashukuru watanzania na hasa vyama vinavyonyima uhuru wa kujeleza kwamba hawachukui maamuzi magumu ingekuwa nchi zingine,wote mngeisoma namba
Wezi ni wale wanolipwa mishahara bila kutimiza muda wao wa kazi.Hawa walifanyakazi na wengi wao wamewahi kupandishwa madaraja kwa kazi nzuri.Kama ni vyeti vizivyo halali wangeweza kupewa adhabu mbadala isiyolingana na adhabu ya kutofanya kazi kabisa kwa sababu tumewaona wenye vyeti vizuri lakini...
Hapa haitakiwi akili bali Hekima.Kwa mfano serkali ingeangalia wahusika wako katika umri gani pia wako katika ngazi gani za vyeo vyao.Halafu maamuzi km haya yangefanywa:
(1)kuwarudisha nyuma vyeo wote ambao umri wao hauzidi miaka 15 kazini na kufanya mitihani maalum ya necta
(2)waliozidi miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.