Recent content by ngutesha

  1. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 2025 Mshindi wa Urais, Ubunge na Udiwani anajulikana. Sitajiandikisha wala kupiga kura

    Nasikitika kuona nchi yangu ikirudi nyuma kuliko enzi za kutawaliwa na Wazungu!
  2. N

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Mgombea adaiwa kukamatwa na kura feki

    Kuna chama kinaiba kura? Je,hicho chama kina uhai kweli? Mbona kinaogopa uchaguzi halali?
  3. N

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ni kweli asilimia kubwa Chadema ndiyo hawajui kujaza fomu? Na ikiwa ni hujuma wanataka kulipekeleka wapi Taifa letu?

    Taifa letu linaharibiwa na ccm wasio kubali kushindana kwa haki.Wamekubuhu katika kupora haki ya wananchi.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Basi gani la mkoani ulipanda ukajutia?

    saibaba
  5. N

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson: Mtu akimsema vibaya Rais nyooka naye, akinisema vibaya Nyooka naye

    Ukiwa kiongozi kusemwa vibaya ni kawaida,cha msingi unahitajika uvumilivu mkubwa
  6. N

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Baada ya kutenguliwa Ukuu wa Mkoa, Kafulila amshukuru Rais Samia kwa kumpa nafasi ya kulitumikia Taifa

    Siyo rahisi kuondolewa bila sababu ya msingi.Kwa nje alionekana mchapa kazi,lakini kwa ndani alikuwa na yake
  7. N

    JamiiForums Tanzania Esther Matiko: Wanaobaka wahasiwe

    Mimi naona hiyo siyo suluhu na wala siyo fundisho.Viongozi wa dini wanaweza kutusaidia kumwomba Mungu ili kulinusuru taifa na laana.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ole Mushi: Waziri Nape asiruhusiwe kuruka na chopa kuhamasisha anuani za Makazi

    Serikali iwe mfano wa kuigwa katika kubana matumizi.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kuweka ukomo uingizaji gari bandarini si sawa

    Cha msingi serikali ipunguze ushuru hata kwa asilimia 40 ili watu wengi wanunue magari na hatimaye serikali ipate pesa kupitia ushuru.Kuwa na gari ni sehemu ya maendeleo.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Lori lagonga nyumba, laua watu watatu

    Watu wa Mungu ombeeni sana nchi yetu.Hizo ajali mbalimbali zinazotokea TZ kwa sehemu kubwa zinasababishwa na mapepo.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tabasamu la Rais Samia, Tabasamu mbele ya Tundu Lissu, Kiongozi wa Chama Cha Upinzani Nchini (CHADEMA)

    Hongera Rais wetu mama Salmia Suluhu Hassan kwa kukutana na mpinzani wako wa kisiasa!!! Umeleta somo kubwa siyo tu kwa Watanzania bali dunia nzima.Mungu akubariki mama yetu kwa hatua uliyoichukua.Umeliunganisha Taifa letu.Na umekubalika zaidi.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini TBC haituhabarishi kesi ya Mbowe na wenzake?

    TBC siyo Tv ya umma
  13. N

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Machifu mkoa wa Mara watoa ONYO kwa wanasiasa wanaotoa matamshi ya kutotambua umuhimu wa Machifu nchini

    Suala la kuukuza uchifu TZ linaturudisha nyuma.Hayati J.K. Nyerere aliona mbali.Kama serikali ya ccm inaona halina madhara basi himizeni kila kabila lifufue uongozi wa kichifu.
Back
Top Bottom