Leo nimefutwa na mwenyekiti wa kitongoji na kutakiwa nilipe mchango wa shilingi 15000 kwa ajiri ya ujenzi wa madarasa, lakini rist aliyokuwa nayo imeandikwa mapato ya kijiji je siwa kumpa hiyo hela badala ya kunipa account no niende kulipia bank.
msaada wenu jamani kabla sijapelekwa...
Kwani jerry nae ni kiongozi wa serikali?.kama alishindwa usemaji yanga hivi ataweza kweli kubishana na hao jamaa. kama anataka uongozi kwa style hiyo asubiri Kuna wakurugenzi wanne walevi soon mkuu atawatoa huenda akapata chance.
Kila ninapohamisha fedha toka bank kwa njia ya simu ni lazima niwe na salio la kawaida kwenye simu, tatizo ni pale ninaporuhusu kukatwa salio la kawaida ili muamala ukamilike salio linakatwa halafu muamala haukamiliki kwa nini msiwe mnakata salio baada ya muamala kukamilika hamuoni kama huo ni...
Hawakuwa bize na wagonjwa wengine walikuwa bize tu na simu, sababu doctor alikuwa amepita na amechukua vipimo kwa wagonjwa na mgojwa wangu tayari alikuwa ameisha pata huduma toka kwa doctor kilichobaki ni kuingia chumba cha wazazi tu, baada ya uchungu kuanza alimuita nes na nes wala hakuenda...
Hawezi kutoka mpaka wezi waishe anajua akitoka atakuta ameibiwa kwa hiyo analinda tusiibiwe, na hataki kuondoka watu watatangaza madeni tunayodaiwa nchi za nje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba waziri anaye husika na wizara ya afya apige marufuku matumizi ya simu wakati wa kazi, nimeenda hospital ya sekoutoure mwanza nikiwa na mama mjamzito badala ya kupewa kitanda hakuna huduma nyingine iliyoendelea zaidi ya maness kuwa bize na kuchart mpaka mgonjwa wangu amepoteza mtoto kwa...
Asizuie kuuza dawa tu azuie na matumizi ya simu wakati wa kazi, maness badala ya kuhudumia wagonjwa wanashinda wa nachart hasa hospital ya sekoutoure mwanza maness kitengo cha wazazi kila siku watu wanakufa kwa kukosa uangalizi wa karibu toka kwa maness.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.