Recent content by Ngushi

  1. Ngushi

    Sabaya yuko kwenye operation maalum hamtamuweza

    Sabaya Sabaya kila siku humu ndani! Amefanya kitu gani kikubwa hicho? Au ndo promo aonekane nae yupo?
  2. Ngushi

    Patrick Ngowi ni nini kimemsibu mpaka kufanya biashara haramu?

    😂😂😂😂😂😂😂 "ndugu mwandishi aliiona fursa
  3. Ngushi

    Patrick Ngowi ni nini kimemsibu mpaka kufanya biashara haramu?

    Mkuu jamaa alionyesha ana zizi la ng'ombe wa maziwa wa kutosha.... Kwa umri wake nilishangaa sana!
  4. Ngushi

    Jana iliyopotea: asili ya clips ni chabo

    Ni kweli unachokisema kaka mkubwa! Sijui kama taifa tumefikaje kushabikia ujinga usio na maana namna hii
  5. Ngushi

    Patrick Ngowi ni nini kimemsibu mpaka kufanya biashara haramu?

    Aiseee nilimuona siku flani nadhan alikua na nani sijui Mwaipaya... Anaonyesha mifugo yake ng'ombe, na vitu vingine mara nikakuta shule ya kitu gani sijui mara makampuni kadhaa..... Nikabaki najisemea jamaa ana bahati kusimamisha mrad wa ng'ombe wa maziwa kwa umri wake ule sio mchezo
  6. Ngushi

    Patrick Ngowi ni nini kimemsibu mpaka kufanya biashara haramu?

    Isaya yunge ndo yupi? Au ndo huyu nilishawahi muona ITV sikumbuki kipindi gani?
  7. Ngushi

    Rais Magufuli ashuhudia makabidhiano ya Dhahabu Kg 35 iliyokamatwa nchini Kenya

    Ni yeye mwenyewe mkuu! Nadhan alikua anafanya janja janja maana kitambo kweli mimi mwenyewe sijamksika kwa kweli! Tangu avume ansingiza kias hicho cha fedha.....
  8. Ngushi

    Bashiru Ally achana na lugha za namna hiyo, hazijengi

    Huu ndo utetezi finyu ambao wote mmelekezwa kujibu hivyo!
  9. Ngushi

    Bashiru Ally achana na lugha za namna hiyo, hazijengi

    Una akili timamu kweli wewe! Alivyofanya musiba kwa hawa wazee ni sahihi na alipaswa kushangiliwa? Kama ni taratibu za chama kwanini ionekane ni nongwa kwa hawa wazee ila sio musiba?
  10. Ngushi

    Bashiru Ally achana na lugha za namna hiyo, hazijengi

    Kwanini musiba hajatumia hizo taratibu za chama kutaka hao wazee washughulikiwe?
  11. Ngushi

    Bashiru Ally achana na lugha za namna hiyo, hazijengi

    Sasa kama wana hayo madhambi si muwashtaki? Ko mumutumie musiba kuwatukana halafu wakae kimya?
  12. Ngushi

    Bashiru Ally achana na lugha za namna hiyo, hazijengi

    Si ndo hapo! Yaani nchi hii inavituko kweli Ally happi eti ambako tunaweza sema ni mjukuu wa kinana nae ajitutumua kuwashsmbulia hawa wazee! Hata kama siwakubali hawa wazee ila wamedhalilishwa sana hadi huruma
  13. Ngushi

    JF Exclusive: Mauritius Leaks name Tanzania companies in tax avoidance

    Aiseee nchi hii ngumu sana! Wacha tuone mwisho wa haya yote
  14. Ngushi

    Bahati Bukuku: Nilitongozwa na Baba Mchungaji

    Hakubahatika kupata mtoto na huyo Dany?
Back
Top Bottom