Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,548
- 860,651
Ipate hii kwa jicho pana na angavu... Drama ya clips zilizovujishwa imekosa impact iliyotarajiwa japo imeondoka na kichwa kimoja....
Zimekosa impact ya maana lakini zimetoa mwelekeo mpya wa siasa za kaya yetu pendwa...
Zimekosa impact ya maana kwakuwa lilikuwa ni jambo la chama cha siasa lililotaka kugeuzwa jambo la nchi na serikali... Yaani jambo la kitaifa...
Zimekosa impact ya maana kwakuwa mazungumzo yake hayakuwa mipango ya kutaka kufanya jambo lenye madhara kwa Serikali na nchi kama uhaini nk... Bali mazungumzo ya kawaida ya kutetana, kusimangana na kukosoana ndani ya chama cha siasa
Mazungumzo yale yapo popote... Kwenye maofisi, kwenye michezo, kwenye taasisi mbalimbali kwenye familia, na hata kati ya ndugu jamaa na marafiki... Mazungumzo mrejesho yanayoakisi kutoridhishwa na hulka, mienendo ama mitazamo ya mambo fulani fulani.... Hata hawa watetaji nao wanatetwa vile vile ndio maana clips zao zikavujishwa....
Udukuzi upo popote na nyakati zote.. Kilichopo sasahivi ni maendeleo ya kitek kwenye hiyo tasnia... Zamani udukuzi ulifanywa kwa kupigwa chabo, kutegewa darubini nk
Tumepitia hatua za kufungiwa camera za siri na vinasa sauti kwenye makazi yetu, maofisini sehemu za starehe na hata kwenye vyombo vya usafiri... Technology inakuwa na kubadilika kwa kasi sana... Siku hizi unadukuliwa ukiwa maelfu ya kilometer mbali kabisa na mdukuzi wako...
JANA ILIYOPOTEA... Tumetaka kuaminishwa kitu kikubwa sana lakini kisicho na uzito wowote kitaifa.... Vita ya himaya ndani ya familia moja haiwezi kamwe kuwa vita ya kijiji chote... Tumetumia muda na rasilimali nyingi kufanya jambo lenye matokeo butu... JANA yetu imepotea bure....!!!!
Leo kuna mtu ataongea... Kaiandaa kaya kwa matangazo ya wiki nzima... Amealika vyombo kedekede vya habari... Anataka habari yake ipewe air time ya kutosha na coverage kubwa.... Lakini kiuhalisia hskuna jipya zaidi ya majigambo na kufukua makaburi ya walengwa...!!! Hakuna asiye na footprints...!!! Labda mfu ambaye hajawahi kuwa hai....
Kungekuwa na tuhuma za kweli za uhaini... Ingekuwa sasa tunaongea mengine... Yatakayosemwa leo ni hisia tu za woga wa kupokonywa tonge na defence mechanism ya kuwastua wengine kwamba TUNAJUANA....
SITAMANI TUPOTEZE JANA NYINGINE KWA UGOMVI WA FAMILIA MOJA... KESHO ITATUCHEKA....!!!