Recent content by Nguruwe Dume

  1. N

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Cha Jordan Morogoro chageuka kituo cha kulelea wajawazito.

    Jordan ni chuo wala sio shule ya msingi au sekondari, chuo wanasoma wenye wake na waume madent wa hapo kuwa na watoto ni maamuzi yao na maisha yao wala hayakuhusu ewe unaowasakama, au la kama unataka nawe beba mimba yako. Tuache tabia ya kuchunguzana mmmmh
  2. N

    JamiiForums Tanzania DIFFERENCE Between A GIRL AND A WOMAN

    Duuuuu, kwa mtizamo wangu hapo upo sahihi kwa asilimia 98.9%.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Uchumba unatakiwa usizidi muda gani?

    As for me, uchumba si kitu chepesi kama wanvyochukulia hawa vijana wa dot com, uchumba ni zao la urafiki mzuri kati ya wapendao, urafiki ambao kila moja amemridhia mwenzake baada ya kuchunguzana na hatimaye kupeana ahadi ya kuoana na hapo ndio uchumba unakuja na pete ya uchumba inavikwa kw wale...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    kwenye ulimwengu huu wa madada zetu kutawaliwa na tamaa ya vitu kwakweli pesa ndio mpango nmzima, hata hivyo wasio na tamaa wapo japo kwa uchache, wenye bahati zao wamepata wenye mapenzi ya ukweli na hao ndio wenye mahusiano endelevu.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    Mtulie na muombe mungu bila kuchoka ipo ck mtapata waume wa kuwaoa.
Back
Top Bottom