Recent content by ngurutu

  1. ngurutu

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kuandika barua ya kuomba kurudishwa katika ajira ya ualimu baada utoro wa miaka minne

    Hapo njia zipo nyingi sana lakini ya kwanza ni kumuandikia barua mkurugenzi kutaka kurjea kazini baada ya kutokuwepo kazini majibu ya hii barua ndo itatoa muongozo wa nn unatakiwa kufanya kuna wakurugenz wengne wanakuwa wazembe yaan unawza kukuta hajakufungulia shauri Tsc utakapo andika ndo...
  2. ngurutu

    JamiiForums Tanzania Kurejeshwa upya kazini

    Tusaidie kada gn
  3. ngurutu

    JamiiForums Tanzania Muda gani huchukua kukubaliwa kurudi kwenye utumishi wa umma?

    Kiukweli ni changamoto sana japo hakuna linalo shindikana chini ya hii dunia utafanikiwa lakn nijuavyo sio chini ya miaka 3 itakuchukua maana hta kibali kikitoka kuna process bado zitakula muda mwingi, sababu ushaumua kuyavulia maji nguo inabdi uyaoge ila kiukwli uwe mwenye subra sana , na uwe...
  4. ngurutu

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Nilichokiona kwenye kikao cha ukoo/familia, bila pesa huthaminiwi

    Inategemea na familia Tu na mnaheshimiana vipi na uaminifu wako Binafsi Mimi palitokea msiba wa moja ya wazazi na kiukweli kiuchumi sikuwa vizuri na Mimi ndo kija mkubwa wa familia walichofanya ndugu zangu ni kunipa kusimamia kila Jambo kiasi kwamba hata fedha za kuendesha mazishi walinikabidhi...
  5. ngurutu

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kurudishwa kazini baada ya kufukuzwa kazi?

    Tupo pamoja brother lengo kujenga
  6. ngurutu

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kurudishwa kazini baada ya kufukuzwa kazi?

    Brother usichanganye mambo huyo mgogoro ushafunguliwa na muajiri wake ambae ni halmashauri yake husika(mkurugenzi) Mkurugenzi alimpeleka Tsc ambao wao ndo watatuzi wa mgogoro baina ya walimu na muajiri ( kumbuka mkurugenzi Hana mamlaka kisheria kumfukuza mwalimu kazi au kutoa adhabu yoyote)...
  7. ngurutu

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kurudishwa kazini baada ya kufukuzwa kazi?

    Hilo ni kosa la utoro kazini na bilashaka Tume ya utumishi wa walimu (T.S.c) walichukua hatua zifuatazo 1.Kukupa notisi ya kueleza kosa lako 2.kukuhitaji kujieleza ndani ya siku 14 Kwa maandishi 3.Kama ulikataa kosa kuundiwa kamati na kukuhojiwa ana Kwa ana Makosa ya utoro wa kuanzia siku tano...
  8. ngurutu

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye Usaili wa TANROADS Mtwara

    The Tanzania National Roads Agency (TANROADS) was established on 1stJuly, 2000 by an order published in the Government Gazette, Notice No. 293 of 2000 as amended by GN. 350 of 2009 under Section 3(1) of the Executive Agencies Act No. 30 of 1997. The Agency is responsible for...
  9. ngurutu

    JamiiForums Tanzania Waziri wangu mwigulu vijana tunasubiri nafasi wizara ya mambo ya ndani

    Jkt wapo wengi tu mtaani pia wenye sifa ,ila ajira ni sawa na riziki ikiwa ni yako utapata ikiwa sio riziki yako hata uwepo wapi hupati
  10. ngurutu

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga (CCM) ahoji Bibi kuvaa wigi kwenye Nembo ya Taifa

    Angehoji kwanza mwanaume kuvaa gauni
  11. ngurutu

    JamiiForums Tanzania Wananchi wenye hasira wachoma pikipiki mbele ya askari

    Bnafsi hapo ninge mgeuza neti
  12. ngurutu

    JamiiForums Tanzania Kisa cha nabii Daud na Funzo kwa viongozi wetu

    Hiki kisa kinapatikana katika Qur an sura ya 34(swaad) ..hivi mshawahi kusikia habari za watu wawili walogombana?...Siku moja Daud akiwa amekaa ghafla wakatokea watu wawili hajui walipo tokea isipo kuwa walikuwa kwenye mzozo mzito sanaa na walikuwa wakiomba daudi awasuruhishe,mmoja ni muongeaji...
Back
Top Bottom