Tunakushukuru kwa taarifa Bw. Augustino Mushi (mmaranguorigino) .Kwa kifupi washiriki wa jukwaa hili wanakufahamu kwa jina na anayekutumaga kumuandama Nassari hapa. Mwambie tumemsikia kupitia wewe. Sasa nenda an wewe ukapewe Gari Kama wenzako kisikio (paul mafie) na Elipokea Urio.
Matokeo serikali za mitaa Arumeru Mashariki 2014.
MAMLAKA YA MJI MDOGO USARIVER(JUMLA YA MITAA 9) CHADEMA 5 CCM 4.
Jumla ya vijiji 89,halali Uchaguzi ni 75,venye pingamizi na utata wa matokeo 14,CDM 34 na CCM 41.
Vitongoji jumla 308 vilivyofanya uchaguzi halali ni 268,venye pingamizi...
Na hii nimeikuta Facebook. Hongera Dogo Janja Nassari
Diwani wa kata ya Maji ya Chai Ndg Loti Nnko ameanguka baada ya kushindwa uenyekiti wa kijiji cha Ngongongare alichogombea mwenyewe kwenye kata yake ya Maji ya Chai. Tumeshinda vijiji vyote 7 kwenye kata hii.
Sasa Diwani unashindwa hata...
Toka kwenye Facebook page ya Nassari.
Matokeo ya awali.
Vitongoji vyote kijiji cha Ngyani tumechukua vitongoji vyote.
Kijiji cha Songoro tayari tumeshinda vitongoji viwili.
Jimbo hili la Arumeru Mashariki lina madiwani 23 wote wa ccm, vijiji 99vyote vilikuwa Vya ccm, vitongoji 321...
Kutoka kwenye Facebook page ya Massari.
Matokeo ya awali.
Vitongoji vyote kijiji cha Ngyani tumechukua vitongoji vyote.
Kijiji cha Songoro tayari tumeshinda vitongoji viwili.
Jimbo hili la Arumeru Mashariki lina madiwani 23 wote wa ccm, vijiji 99vyote vilikuwa Vya ccm, vitongoji 321...
Katika mikutano ya kampeni za kuwanadi wagombea wa serikali za mitaa, CCM iko na Hali mbaya Arumeru. Imefika hatua wameshindwa kufanya mikutano sasa wanapitia nyumba kwa nyumba wakigawa sukari kuomba kura
Katika Hali isiyotegemewa Mbunge wa Arumeru Joshua Nassari alitoa taarifa Bungeni Kuwa Prof Muhongo amedanganya Bunge kwa kusema Kuwa Naibu waziri Masele aliteuliwa na serikali ya marekani kuwawakilisha vijana wa generation ijayo ya viongozi wa Africa Kama sababu ya kujitetea kwamba wamarekani...
Mbunge wa Arumeru Mashariki CHADEMA ambaye pia ni mbunge mdogo kuliko wote Tanzania amewataka wananchi wake kusimama kuchangia fedha za maabara kwenye shule za sekondari Kama fedha za Umma zilizoibiwa kupitia Escrow account na sagga ya IPTL hazitarudi kwa Umma. Aliyasema Hayo Juzi jumapili...
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari jana aliungana na wananchi wa kata ya Makiba kijiji cha Valesca kugawa mashamba kwa wananchi hao baada ya Serikali kupitia Halmashauri ya Meru kushindwa kufanya hivyo.
Ikumbukwe mwaka jana wananchi hao walivamia mashamba Hayo yenye zaidi ya ekari 4600...
Na aliwashughulikia magamba kweli. Ndo maana mnaweweseka. Wewe Kibaraka wa hao maccm waliokununulia rav 4. Dogo Janja kawashughulikia mpaka wazee wa miaka 80 wakarudisha kadi za tanu na ccm.
Acha uongo gamba.
Ijumaa wiki iliyopita Nassari na katibu wake walikuwa kijiji cha kilinga na maofisa wa wakala wa misitu Tanzania alipokwenda kutatua Mgogoro wa mashamba ya forest na wananchi sasa wamepata Haki Yao.
Jumamosi alikuwa na katibu wake kwenye mkutano wa hadhara kijiji cha Ngyani...
Moja ya mikutano iliyofanyika kwenye operedheni M4C pamoja daima ni uliofanyika kwenye kijiji cha olkung'wado kata ya ngarenanyuki - Arumeru mashariki leo.
wameunguruma Kamanda Lissu, Nassari na heche. Kadi zaidi ya 400 za ccm zimerudishwa kwa hamasa. Ona picha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.