Recent content by ngunya

  1. N

    JamiiForums Tanzania Bajeti Kuu, 2023-2024: Wanafunzi wa kidato cha Nne wanaochaguliwa na Serikali kusoma kwenye Vyuo vya Ualimu, Afya, Sayansi, Ufundi wapewe mikopo

    Ni lini Serikali itaanza kutoa Mikopo hiyo kwa wanachuo wanaotarajia kujiunga na vyuo vya kati Mwenzi wa 10?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mtifuano kati ya Jenerali Ulimwengu na Mary Chipungahelo a.k.a Mama Chips

    Du!!,Wadau Mna Kumbukumbu Sana::::::::::::::::::::::::::::::::Mama huyu alijizolea Umaarufu mkubwa Saan Enzi hizo halfu alipotea kabisa ktk Siasa::::::::::::::::::::::::::Tafadhali Mwenyekujua alipo Sasa hivi atujuze.
  3. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Linapokuja suala la kuiondoa CCM madarakani, wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ni kikwazo

    Ndugu Mleta Maada,Uko Sawa, Na hata Kuna Mwanasiasa Mmoja aliwahi Kuwashangaa hivi hivi Wana Dar es Salama na kuwatania kwamba Wanaongoza kula Miguu ya Kuku.
  4. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

    Katibu Mkuu Mstaafu CDM Kapata Ngapi Jamani?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ili kuondoa utata Zanzibar, bora kupiga kura upya

    We Mleta Maada Unaijua Vzuri C.C.M Kweli???
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ombi: Mkapa amtembeze Magufuli mikoani!

    Kwa Kuita Watu Wapumbavu marambili au???
  7. N

    JamiiForums Tanzania Freema Mbowe ni Mtoto wa mjini, true hustler...

    Ona hili nalo!!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa na Prof. Baregu kwenda ACT-Wazalendo?

    Source Please!!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ninashauri Mkutano wa CHADEMA Dar es Salaam usifanyike Jumatatu

    tufe Da!!,Wazo Zuri Kabisa,Naunga Mkono 100% kwa 100%,Ila mimi nadhani wanafanya hivyo Kwa kukimbizana na Muda wa Mchakato Wa Wagombea,Ila ni wazo Zuri nina Imani watalichukua
  10. N

    JamiiForums Tanzania TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Ukawa ni hatari, Serikali ya Magamba Wamejinyenyea baada ya kusikia kuwa Ukawa Watakuwa Na Mkutano wa ki Historia Mwanza,Na Kuamuru TANESCO Kuhahakikisha watu hawafuatilii kinachoendelea Mkutanoni kwa Kukata Umeme Maeneo Mbalimbali ya Nchi, Shame on You!!!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ikiwa Lowassa ni Mwizi na Fisadi, Iweje Watu Hawa Wenye Heshima Wamuunge Mkono?

    HAMY-D Orodha Ndefu ya watu takribani Kumi huku Ukiwakwepa Marafiki zake na Nguli wa Mafisadi,Kama,Joka lenye Makengeza Lisaka Pesa,Nadhiri Karamagi,Rostam Aziz n.k,Mbona Husomeki Kaka?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kaangio jipya kwa baadhi ya watia nia Urais kwa tiketi ya CCM-Dodoma

    Msidanganyike,Mkuu wa kaya na the so Called Loh Haswa Lao Moja,Hapo anazuga tu kujifanya hana habari naye Lakini Mwisho wa siku Ndiyo atakayem-Suport,Quote my words
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kigogo mbaroni Mwanza mauaji ya albino

    Dialo au?
Back
Top Bottom