Habari wakuu,
Wakuu kama munavyofahamu kwamba chama makini,chama cha watanzania CHADEMA kimepanga kufanya mkutano mkubwa wa had hara katika jiji la Dar es salaam siku ya Jumatatu.
Ila mimi mpenda mabadiliko asieyumba ninapenda kuwashauri viongozi Wangu wakuu kwamba ni heri wangesitisha huu mkutano kwa sasa mpaka pale zoezi la uandikishaji kwa BVR litakapomalizika kwasababu kama tunavyojuwa mikutano ya CHADEMA inavuta watu wengi hususani vijana kwasababu ya hamasa na mapenzi yao kwa chama hiki.
Kitendo vijana kuhudhuria mkutanoni kitapelekea vijana wengi kukosa kujiandikisha kwa siku ya Jumatatu na pia kutoa nafasi kwa magamba(CCM) kuandikisha watu wao bila ya usumbufu na kwa faragha kabisa.
Tusije tukashangaa siku hiyo mashine tuliozoea kuandikisha watu 50 kwa siku ikaja kuandikisha watu 1000 kwa siku sababu wanajua wapo peke yao.
Hivyo basi ninaomba chadema kuendelea na mikutano yake katika mikoa ya MBEYA na ARUSHA pamoja na mikoa mengine ambayo uandikishaji umeshapita mwisho kuja kufanya Dar baada ya zoezi la uandikishaji kumalizika.
Naomba kuwasilisha.