Recent content by Ngunguta

  1. N

    Kenyatta wa Kenya - Mtoto wa nyoka ni nyoka tu

    uchumi ni mashindano kwa sasa nchi yenye uchumi mzuri ndio itakayovutia wawekezaji mkuu
  2. N

    UKAWA tulieni, mbinu watumiazo CCM hizi hapa

    Baada ya kushindwa kupambana na mafisadi sasa ukawa waamua kujiunga nao rasmi tena wanawanadi hadharani bila woga na kuwapuuza wale wanaopinga ufisadi
  3. N

    Nani wakulaumiwa katika sakata la Dr Slaa?

    walituaminisha wakatupatia matumaini kumbe yale ni maneno tu mwisho wa siku hakuna mafisadi tena tanzania
  4. N

    Lowassa: Nitawawajibisha waliohusika na Richmond

    Dr Slaa anasimamia misingi tuliyojiwekea ila kwa wale wasiojua maana ya misingi wanakimbilia propaganda tu. ni mtu asiyeyumbishwa na siasa za kinafiki
  5. N

    Lowassa: Nitawawajibisha waliohusika na Richmond

    Angekuwa Dr. Slaa angeweza sio huyo mzee
  6. N

    CHADEMA msijidanganye, Dr. Slaa hayuko peke yake

    Dr. Slaa amesema kinachomsumbua moyoni mwake na hawezi kufuta kauli zake kwani hana imani na Mh. Mgombea wa Ukawa. Tunamshukuru kwani tunahitaji kujua mengi ili tuwapime wagombea wetu lkn hatuwezi kumpuuza kirahisi bila kuwa na majibu ya hoja zake kwani ni mtu anayeaminika na watanzania
  7. N

    Tundu Lissu na kampuni za madini

    Hatuhitaji kupepesa macho hapo nashauri hoja hii ipewe nafasi ya kuangaliwa kwa undani zaidi kwa faida ya Tanzania.
  8. N

    Kenyatta wa Kenya - Mtoto wa nyoka ni nyoka tu

    Tanzania itajengwa na Watanzania wenyewe. Huu ni ujanja wa Kenyatta baada ya kusikia Tanzania inataka kujenga bandari kubwa kwa msaada wa Wachina hivyo jamaa anataka kuwahi kuwakamata M7 na Kagame ili Tanzania isije faidika na mradi huu wa bandari. Utaona kenyata ameamua kuondoa vizuizi vyote...
  9. N

    Chagonja: Ni kweli Bomu, Bastola na SMG vilitumika tukio la Arusha

    *Chagonja anadai uchunguzi wake wa awali unaonyesha kuwa mtu huyo huyo aliyerusha Bomu ndiye pia huyo huyo aliyetumia bastola kupiga watu na ndiye huyo huyo alitumia SMG kulenga watu kama njia ya kujihami asikamatwe na watu, polisi walimwona ila raia wakazuia polisi wasimkamate!!! Hapa...
  10. N

    Kauli ya Chagonja juu ya Nassari

    Viongozi wengi wa polisi ni wale wa enzi ya chama kimoja hivyo tunachokiona sasa ni matokeo ya polisi kuwajibika kwa chama na sio kwa wananchi na sheria ya nchi. Mungu tusaidie ili wajue mchango wao katika ustawi wa nchi yetu Tanzania
  11. N

    Wabunge wa NCCR Kutoka Mkoa wa Kigoma kuunguna na wanaukombozi leo - Bungeni kuwaka Moto

    Tanzania sio salama tena demokrasia imeleta mgawanyiko na matukio yasiyofaa katika jamii ya watanzania badala ya kuwa chachu ya maendeleo na msingi wa utawala bora na haki za binadamu. Badala ya kufikiri jinsi ya kutuletea maisha bora wanasiasa wanafikiri jinsi ya kupigana na kuhujumiana kila siku.
  12. N

    Waziri Muhongo Mfukoni Mwa Lowassa

    hata wewe ni mmoja wa hao wanaoripoti kwa Edo?
  13. N

    Why Ladies Hawapendi Condoms? ( Ni kweli zinawaumiza? )

    huna haja ya kuogopa kwani wakati unafanya ulikuwa na akili timamu na leo umeamua kupima ukiwa na akili timamu, hivyo yote ni maamuzi sahihi
Back
Top Bottom