Recent content by Ngungange

  1. N

    JamiiForums Tanzania Messi Kupost hii video ni kuonesha insecurity kwa GOAT CR7

    Timu siaraseveni wanavifukuto sanaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣..... Messi huo ubinadamu hanaaaaaaaa 🎩 Messi NI GOAT Kwa sasa na Siaraseveni NI Mbuzi maji mmoja 🤣🤣🤣
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mwangaza Uliozimwa – Safari ya Mkombozi na Mwisho Wake Wenye Machungu

    Pole ya Kwanza NI kwake Pole ya pili NI kwao ,maana nao wataunga tela.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Je Taarifa Hii Iliyochapishwa na Jarida la Mambo ya Intelijensia Afrika Ina Ukweli Wowote Kuhusu Namba Samia na Nchimbi. Serikali Ikanushe

    Zile Damu lazima zitatafuta namna mhusika akose Amani,necha haijawahi kukopesha. Unaweza kuwa hai usiye na utulivu kwakuwa umeharibu kampangilio kadogo tu
  4. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aulizwa “Utafanya nini kukabiliana na vikwazo, Tanzania ikifanya biashara na Urusi”. Yeye ajibu “Hatuna Vikwazo vyovyote”

    Binafsi naona yupo sahihi Tu,Lugha nzuri NI Kiswahili 😂😂😂
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kila siku tunamnunulia Pombe tumekuja kugundua kumbe anajenga

    Kwahiyo unataka tushiriki kusema Jamaa Ni waajabu? Nyie kipi kimewauma msiba au Ujenzi au vyote Kwa pamoja? Enewei inawezekana kijijini Kwa Hali si Hali na nyie labda mnakawaida ya kutaniana ,yeye akahisi itakuwa namna gani(Wakishuaaaa sanaaaaa au Hali ya kupambana sanaa),Maisha Yana vingi...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Leo Atletico Madrid atamfunga Arsenal na kuingia Fainali ya UEFA. Huu sio utabiri, ndivyo itakavyokuwa

    Nakinyume chake kinaweza kutokea
  7. N

    JamiiForums Tanzania Makahaba/Matapeli wa mapenzi SGR station Dodoma

    Kuna kitu unakiruka? Weka namba yake tumuulize vizuri Yupoje kimuonekano?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji dawa nzuri ya kusisimua misuli ya uume kusimama mda mrefu bila kumwaga inayopatikana Pharmacy

    Umejaribu Kula ndizi mbivu mbili😂😂😂 na maji Safi mengi
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuna Project ya wanamtandao kutumia Manabii kutoa tabiri zenye lengo la kuipooza Mioyo ya Wananchi

    Yote yanaweza kuwa ila kiuhalisia kuna uwezekano wanaotangaza Amani hawana Amani ya ndani😂😂😂
  10. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Josephat Gwajima: Yamemitia! Hutoboi kama mfalme Uzia asipokufa kwanza na kuondoka!!

    Hii michezo ukishaanza kuiona inaanza jua kunamazingira wanayanda huku nje. Ila kama inafikia watu wanafurahia umauti wa mtu ujue kuna namna. Enewei Dunia sio Eneo la kudumu.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu Rais kapatwa na nini atuambie. Si kawaida yake kutosafiri nje ya nchi kwa muda mrefu hivi

    Hali ni mbayaaaaa Aliyepita alijificha tocha Kwa Damu alipotokeza Kwa kadamnasi haikuchukua muda safari ikawadia... Aliyefuata alijicha zikimakazi kitakachotokea baada ya hapo ni .......... Wakuunga doti nawaunge nawasio unga pia wasiunge. Enewei Mungu ibariki Tanzania wabariki raia wake.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Jumapili Desemba 7 Mapadri na Askofu wa Kikatoliki ni muhimu wazungumzie Amani kuliko Haki

    Viongozi watuambie wajibu wao na haki zao Na kisha raia aambiwe wajibu wake na haki yake. Tuone kama kutatokea vurugu
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kwa macho ya kawaida utaona ni haki inagombaniwa, ila kwa taarifa za uhakika kinachopikwa ni Tanzania kuwa Congo ya pili

    Upo Sawa kimtazamo kwakuwa hapa kuna agenda hiyo na Viongozi wameshakula mtego Kwa kuwa nchi sasa IPO kwenye mshtuko. Kosa linalofanywa na watawala n kuminya Haki Katika Nyanja za kuikosoa serikali, Vitendo vya kutekwa,Mauaji ya baada ya kupiga Kura. Ubadhirifu WA pesa. Yaan kuna tuhuma Kwa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani apigiwa wimbo wa kudai haki kwenye mahafali, akerwa

    Hili vugu vugu la mabadiliko litavuma sanaaaa.... Mchimba shimo hujichimbia mwenyewe 👣
Back
Top Bottom