Habari ndugu wana-Jf!
Naombeni kuuliza kuwa,huu utaratibu kwa wajumbe wa nyumba kumi/serikali za mitaa kutoza Tsh/= 2,000 hadi 5,000 kwa barua moja kwa wananchi wanaohitaji huduma hiyo, ni utaratibu halali ambao upo kisheria?na kama ni halali,mapato na matumizi ya hizi hela yanajulikana na...
Hii habari haina ukweli wowote mkuu,b'cause baadhi ya waandishi wetu siku hizi wanapotosha(mislead information)sana habari ili kuuza magazeti/ habari yao.Na hii inakiuka sana media ethics,hivyo some people huondoa imani yao kwa hivyo vyombo vya habari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.