Recent content by ngumba njeche

  1. ngumba njeche

    Wito: Mjadala fao la kujitoa urudiwe

    Maana mimi naelekea uko kukosa ajira maana kila mwisho wa mwezi majina kwenye ubao sasa hii habari hinazidi kunichanganya tu
  2. ngumba njeche

    Viongozi wa dini hawakukemea mauaji Kibiti? Ushahidi wa barua huu hapa

    Sasa mbona wanasema awakutoa waraka? Asante terknology
  3. ngumba njeche

    Wito: Mjadala fao la kujitoa urudiwe

    Lengo la muswada nini? Si hakuna Fao la kujitoa au Ruksa kujitoa?
  4. ngumba njeche

    Wito: Mjadala fao la kujitoa urudiwe

    Mambo kama haya ndio sisi wengine yanatuumizaga tu mtu unafanyakazi kwa mhindi miezi 3 fao la kujitoa miaka55 kweli? na kazi zetu zimeadimika sana
  5. ngumba njeche

    Nukuu za Humphrey Polepole kwenye kikao cha CCM jimbo la Mikumi

    Kama yupo mikumi utasikia tu son mpinzani kahamia ccm
  6. ngumba njeche

    Watanzania tujifunze: Msichana pekee wa kikristo katika wale waliotekwa na Bokho haram agoma kuikana imani yake

    Msichana uyo kwanini asiwalizishe tu watesi wake ili ahachiwe na hakirudi kwao si anaungama au kanisa alitompokea?
  7. ngumba njeche

    Hivi Mtoto kabla hajazaliwa hupataje haja tumboni?

    Kwa Akili yako unafikilia mtoto anakula? Mtoto alichakula mtoto anaishi kwakutumia oksjen tu na mambo mengine utayaona mtoto anavyozaliwa
  8. ngumba njeche

    Maadhimisho ya 54 ya Muungano wetu mwaka huu yatafanyika wapi?

    Uchochezi ni kuamasisha jambo au kuufahamisha mtu jambo ambalo unauhakika nalo kwa "mfano nguo mabaka wanajulikana na msugusugu kibaha inajulikana na Mzizima ni Dar es salaam inajulikana mim sio afisa ila nakujali kaka yangu usiwe unafikilia asi tu
  9. ngumba njeche

    Maadhimisho ya 54 ya Muungano wetu mwaka huu yatafanyika wapi?

    Kaka ni kosa kutoa taarifa za jeshi kiuchochezi kwakuwa ilo ni jeshi letu wote
  10. ngumba njeche

    Dodoma: Wahamasishaji maandamano wawili, tayari wametiwa nguvuni

    Jamani Maandamano ya nini? Mbona atuelewi elewi hapo?
  11. ngumba njeche

    Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

    Baba ata kama wewe unajua endelea tu tutaisoma tu
Back
Top Bottom