wabongo tusichoke kuwaunga mkono watetezi wa haki zetu,pole sana Lwakatare,wa tz wengi sana tupo tayari kwa mabadiliko, tumechoka kupuuzwa, kuonewa na kuhujumiwa raslimali zetu mkombozi wetu ni CHADEMA, wananchi tuzidi kuwaunga mkono viongozi wenye upeo wa juu, tusikubali hadaa za wsio na...