Mkuu thanks,
Tatizo hajajieleza vizuri dhumuni la yeye kufanya mazoezi au kwenda gym ni nini? kuna kupunguwa, fitness, tonning/ anataka kuwa Shredded. Hapo naweza kumshauri gym gani ingemfaa kwa mfano tu, Rio ilioko LPAF building opposite PPF towers wako vizuri sana kwa aerobics, salsa na...