Ndo wanaopanga wizi wa kula afu naona kama hakuna ile kitu inaitwa gender balance kwenye (shingo) NEC yao inakuwaje hawa jamaa mbona siwaelewi watakiona 2015 lazima syria iwe tanzania huko
Ntamwambia ajiudhuru alafu mchunga ng'ombe wetu awe mbadala wake kozi anauwezo wakuwatunza mifugo vizuri wakawa na afya kuliko yeye anayebakia kucheka na wapumbavu wanao ficha fedha zetu nje ya nchi nayeye kukaa kimya bila maamuzi kama rais nakumwambia joyce banda ni bora kuliko kikwete
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.