Recent content by Ngoyejr

  1. N

    JamiiForums Tanzania Imekuaje Tundu Lissu ameumia zaidi mguu wa kulia hali ya kuwa alishambuliwa upande wa kushoto

    Maswali kama haya ni ya kutafuta mengine, team ya madaktari pale Dodoma wakiongozwa na Mteule wa Rais, Dr Ulisubya walishuhudia kuwa aliumia zaidi wapi, ni vizuri kuhoji watu kama hao. Sie wengine huku tutadanganyana tu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ajali: Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Abdi Issango apata ajali

    Isije ikawa ile dua ya juzi
  3. N

    JamiiForums Tanzania Barua ya Kighoma Malima kujiuzulu, amlaumu Kikwete

    Tena ni mbunge wa jimbo huko Zanzibar, sio wa kuteuliwa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi afungua Apps ķatika playstore Android!!

    Inaonekana na wewe unamfuatilia maana usingemfahamu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi afungua Apps ķatika playstore Android!!

    Una utani na wateule wengi sana hapa,, kama ni vyakula tutalishwa sana
  6. N

    JamiiForums Tanzania Dar: Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) ya Uvinza mkoani Kigoma, Auawa Kinyerezi

    Jiulize pia kwann Polisi wanawatishia silaha wananchi wasio na hatia?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Halima Mdee kumtusi Spika, tunakoelekea ni kubaya zaidi

    Mm nafikiri huwa unaangalia bunge hili tu la Jamhuri ya Muungano wa Tz... Fanya references na ma Bunge mengine ili uone matusi. Mfano mdogo to ni Bunge la South Africa, hadi Rais anatukanwa zaidi ya matusi hayo uliyosikia
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mtatiro na hoja ya ruzuku ni uzushi kama hoja ya RITA

    Huyu jamaa atapotea sana
  9. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli acha kuwaonea dagaa mchele, anza na hawa nyangumi

    Nilitegemea huyu mzee wa monduli atakuwa ndo wa kwanza kupelekwa mahakamani, maana wakati wa kampeni Mh. Magufuli na Kikwete walitamka wazi kuwa Ufisadi na wizi wa Lowassa hauhitaji ushahidi maana wiz wake ni wa wazi kabisa,, Nashangaa hadi leo hawajamshughulikia
  10. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya Jaji Augustino Ramadhani kukana kiapo chake, Kanisa la Anglicana TZ litoe ufafanuzi

    Aliombwa na nani mkuu????
  11. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya Jaji Augustino Ramadhani kukana kiapo chake, Kanisa la Anglicana TZ litoe ufafanuzi

    Changia hoja kwa vigezo mkuu, usiropoke
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ni yepi "Maamuzi Magumu" aliyowahi kuyachukua Lowassa?

    Mkuu kwanini asafishwe na mahakama??? Kwani shauri lake lilipelekwa mahakamani???? Au na wewe ndo wale wazee wa kukurupuka!!! Kuhusu afya yake, "wewe na mimi hatujui" anajua yeye na daktari wake
  13. N

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, awanunulia watu wa Hai gari la takataka

    Lkn Afadhal yeye katoa hata kama kachelewa au kuvizia kipind hik, lkn ss wananch tumeona na tutachuja kama ni kwa ajili ya uchaguzi au la!!!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa anapendelewa na Vyombo vya Habari?

    Duuuh kama na wewe una fikra ya ukanda nakuwa na mashaka na kichwa chako.....
Back
Top Bottom