HATMA YA DR.SLAA NA UJIO WA EDWARD LOWASA NDANI YA CHADEMA.
Na Nicholaus Ngowi.
Sunday 2/8/2015, 11:30
Ni takriban miaka tisa sasa tangu nimeanza kufuatilia kwa undani siasa za Tanzania na pia tangu nijiunge rasmi kuwa mmoja wa wanachama wa chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA.
Kwa...
UKAWA SIO SALAMA SANA.
Na Nicholaus Ngowi.
29/7/2015-08:23
Tangu kuanza kwa umoja wa katiba ya wananchi UKAWA nchini watawala wamejaribu kila mbinu ili kuhakikisha kuwa umoja hou umesambaratishwa kwani kiukweli unahatarisha kwa kiasi kikubwa uhai wa chama cha mapinduzi.
Zimefanyika mbinu...
Ni afadhali ya njaa inayoishi tumboni kuliko inayoishia kichwani kwani humfanya hata msomi kuiweka rehani elimu yake mfukoni kwa gharama za wengine. Sio kila anayemshauri ama kumkosoa Rais ni Lema.Sishangai maana hata Lukuvi alishawahi kunifananisha na Lema baada ya kushindwa hoja. Kwa kifupi...
Mbunge wa Muhambwe kupitia NCCR-MAGEUZO Felix Mkosamali amepata ajali mbaya ya barabarani eneo la wilaya ya BAHI mkoani Dodoma akiwa njiani kutokea Dodoma kwenda Kigoma.
Yeye Mwenyewe hakuumia sana ila mdogo wake pamoja na abiria mwingine wameumia vibaya na kwa sasa wapo Hospital ya rufaa ya...
Shoza unateswa sana na laana ya usaliti. Ukiona mwanamke kaoewa halafu anamtajataja bwana wake wa zamani jua dhahiri kuwa bado ana mapen ya dhat na bwana wa zamani
JANUARY MAKAMBA NA KIINI MACHO CHA URAIS.
Ni hivi majuzi tu nimetoka kuandika juu ya Rais Kikwete kuufanya urais kuwa bei ya kutupwa kias kwamba kila mtu kuufanya urais kuwa hata mwendawazimu kuona anaweza kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kutokana na neno rais kuwa la kawaida na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.