Recent content by ngoshas

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kututhibitishia kuwa kuna bilioni 4 zilitengwa kwa ajili ya sherehe za Uhuru mwaka huu?

    Sasa kama kafuta sherehe za uwanjani na hakuna aliyebisha na kulazimisha ziwepo kubadili fedha zake shida itakuwa wapi. Bunge lilipitisha walipwe posho za vikao na umeskia hazina wamezichop, hizo za uhuru nini kikwamishe
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kakutana na EX wake tukiwa pamoja, kafurahi hakuna mfano!

    Inawezekana ajawahi kucheat kweli, lkn kufurahika kupita kiasi na kutokana na ukweli kwa hawakuachana kwa ugomvi, lazima itie shaka future ya uaminifu wake
  3. N

    JamiiForums Tanzania Sasa tunakwenda kushuhudia tofauti ya UKAWA kushika dola na CCM kurudi madarakani

    We unamiaka zaidi ya 20 lkn nna uhakika hujafanikiwa kila kitu, sasa huyu ndo kwanza ana mwezi mmoja ushaanza kulalamikia mambo anayotakiwa kuwa kayafanya baada ya miaka mitano
  4. N

    JamiiForums Tanzania Sasa tunakwenda kushuhudia tofauti ya UKAWA kushika dola na CCM kurudi madarakani

    Inamaana hukusikia kuwa uchunguzi umeanza, na watu wasisafiri nje ya Dar
  5. N

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya dola mnakuwa wapi wakati uhalifu unatendwa?

    Sasa ma Mdogo unafikiri hao wakuu na wabunge ndo wanafanya upelelezi? Hao wabunge viongozi wanasoma ripoti wanazopewa ambazo hazikufanyiwa kazi watakavyo
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mfanyakazi mwenzangu anataka tuchepuke ofisini

    Huyu naona anazingua tu, wengine wamesema ule wengine wamesema usile, utachukua lipi sasa. Mnk mwamuzi wa mwiaho ni ww, na uamuzi unao Tayari Kabla hata hujaja hapa
  7. N

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Nahisi nimekuelewa, ila ambacho cjaelewa, na itabidi unieleweshe, wakati wanateuliwa kupewa hizi nafasi uliwahi kuhoji kwanini waislam tu? Hakuna wakristo wa kuwapa nafasi
  8. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu afanya ziara ya ghafla bandari, aamrisha kukamatwa kwa maafisa wa TRA

    Tbc washaonesha mtu kamwagwa mavi tra
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuta SMS za kimapenzi kwenye simu ya mpenzi wangu

    Kasema ukweli humuamini unataka akuongopee kuwa ni zake ili umuamini
  10. N

    JamiiForums Tanzania Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Ila nifafanulie kidogo kwenye at least 20m, hizo ni kununulia dawa tu ama kukodi na kutransfom jengo na dawa za kuanzia na vibali
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge wataka Milioni 130 badala ya 90 kama mkopo wa gari

    Wangapi wana hardtop, wengi wao wana maUsed ambayo hayafki ht nusu ya 90 ya zamani, wahuni hawa. Mbunge wa nyamagana hardtop ya Nini wakati hata carina anazunguka jimbo zima
  12. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya miaka 54 ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    Usikariri autocratic kuwa hawafai
  13. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya miaka 54 ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    Tafuta maandiko 'leadership dubai style'. Mtafute baba wa Singapore Lee Kwang style yake ya uongozi. Pia tafuta ya Steve Jobs af uje usemee tofauti ya uambiwayo na westerners kuhusu hii style ya uongozi
Back
Top Bottom