Recent content by Ngoshanyi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume (Shangazi), kumfungulia kesi Musiba

    Si anawajua nyie msiojulikana kazi yenu halafu mnasingizia serikali?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    Niliwahi kuandika huko nyuma Lowassa kenda kuwasuta na pia nikaandika akiisha watengenezea watamuanzia visa wamtupe nje. Mzee kastuka mapema kasepa. Chadema siasa hawaijui ni waropokaji tu . Utaanza kuwasikia waropokaji haswa Le
  3. N

    JamiiForums Tanzania TUHUMA ZA ZITTO KUTAKA KUJITEKA NI NZITO, AELEZE UMMA KWA NINI?

    Mlimteka nyie kama kawaida yenu ili mumyumbishe Kamanda wa kiukweli JPM. Imebuma. Sasa mrudisheni yule msaidizi wa Mbowe kachoka huko mafichoni kwani serikali hii si ya mchezomchezo
  4. N

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Spika ameagiza Kamati za Bunge za PAC, LAAC, Bajeti na Uwekezaji kutofanya kazi na CAG, tunakwenda Mahakamani!

    Hahaaaaaas haaaaaa mnafiki tu Zitto habari ya mujini sasa ni mahesabu ya chama lako. Umeshindwa kukuza lichama lako unawatumia wasio na akili kukuza wewe binafsi na ilivyo mijinga imekukumbatia tu. Umeisha
  5. N

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ujerumani: Serikali ya Tanzania inatakiwa kutafuta mbadala wa mabwawa kuzalisha Nishati ya Umeme

    So what? Even 10 years it is none of your business
  6. N

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ujerumani: Serikali ya Tanzania inatakiwa kutafuta mbadala wa mabwawa kuzalisha Nishati ya Umeme

    Mpumbavu mmoja wewe. Unafikiri kwa kutoka kwenye tundu la choo. Nyie ndio mashoga aliowakubali Lissu kwenye Hardtalk.ya Bbc
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mh Rais, kuna FAILI liko mezani kwanini Unaliruka? (PART TWO)

    Nenda kanye kisha uchambe kwa mgomba. Huu wazimu wa ndoto mpelekee mkeo na wakwezo
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mwaka 2019 ni wa kurudisha Demokrasia, Haki na Utu wetu Tanzania (Sehemu ya Kwanza)

    Hatuna muda huo. Akitua nchini tunae
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli JK CCM Ilikufia Mikononi, Hii Uliyoacha Sio CCM Asili

    Poleni nyumbu na pinduapindua. Na bado. Si mlimtukana Mkwere? Mezeni tu sasa.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Waliofungua kesi kupinga mswada hawakusoma hizi sheria za Vyama za Nchi nyingine

    Si huwa mnasema Mahakama si huru? Vipi leo muiachie?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mwaka 2019 ni wa kurudisha Demokrasia, Haki na Utu wetu Tanzania (Sehemu ya Kwanza)

    Dereva wako ndio first suspect na waliopanga ndio wamekukimbizs naye. Mrejeshe mahojiano yaanze kwake ni shahidi muhimu sana
  12. N

    JamiiForums Tanzania Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

    Nonsense. Kumjibu kichaa nawe utaonekana kichaa. Chama kimemshinda kajishindilia Ukawa na kwa sababu wenyewe pia wa hoi wamemkubali. Hamna kitu hapo. Ngoja sasa wale waliosema ulitaka kuwahujumu kwa pesa ulizopewa pale benki wakushughulikie. Kuna yule jamaa wa Arusha mzoefu wa shughuli hizo...
  13. N

    JamiiForums Tanzania BoT yazifungia benki 5 kutojihusisha na biashara ya fedha za kigeni

    Narudia tena wewe ni mjinga na pimbi. Badala ya kusikitika benki zinaiba pesa zetu za kigeni kwa kukiuka taratibu za Benk wewe unashangalia. Tena ungekuwa karibu yangu na makonde ningekupiga swine
  14. N

    JamiiForums Tanzania BoT yazifungia benki 5 kutojihusisha na biashara ya fedha za kigeni

    Ujinga hauuzwi labda ningesema umeuziwa mbuzi kwenye gunia. Inaelekea ni mjinga wa asili na bongo lako limejaa taka
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya Zambia zamu ya Kenya, China mbioni kutaifisha SGR kulipia deni

    Kwa hili hujamaliza adha ya mikopo ya nchi za Magharibi. Umechagua yanayokidhi haja yako" "Ni kweli kwamba nchi za magharibi zinaambatanisha mikopo na masharti mbalimbali, kama haki za binadamu, demokrasia, mambo ya mazingira na mambo mengine(mambo ambayo Mimi binafsi ninakubaliana nayo
Back
Top Bottom