Mh Rais, kuna FAILI liko mezani kwanini Unaliruka? (PART TWO)

Nilichokiandika nina hakika kina tija tatzo ww ni miongoni mwa makangomba mkuu imekula kwako niko mtwara ila si kila mwana ntwara ni nkulima shekhe!

Sent using Jamii Forums mobile app
WEWE NI MPUMBAVU MKUBWA NAONA UNANITAFUTA.


POPOMA MKUBWA.
NARROW MINDED PERSON.


MTOTO ULOPATIKANA KWENYE POMBE.
UNAANDIKA UZUSHI,ETI WATU WAMEWAZUIA WATOTO WASIENDE SHULENI KWA KISINGIZIO CHA KUKOESEKANA KWA MALIPO YA KOROSHO.
HUO NDO UKWELI,
ENDELEA KUTUMIKA MBWA KOKO MKUBWA
 
Nilichokiandika nina hakika kina tija tatzo ww ni miongoni mwa makangomba mkuu imekula kwako niko mtwara ila si kila mwana ntwara ni nkulima shekhe!

Sent using Jamii Forums mobile app
KANGOMBA MKUU NI YULE ALIYETIA FEDHA KIBINDONI SH TRION 1.5 HUYO NDIYO KANGOMBA MKUU,ENDELEA KUTUMIKA KAMA MIPIRA ILE YA....UKWELI WANAUJUA WAKULIMA WA KOROSHO.

WEWE MBURUKENGE HAUNA UNACHOJUA.
SIKULAUMU NI TATIZO LA WAZAZI KUTOFUATA UZAZI WA MPANGO.
 
Wana bodi wenzangu IGWEEEEEE!

Binafsi sijambo,nina endelea kuomba radhi sanaa katika uandishi wangu najua unatatizo kidgo ila naomba msome na kuelewa kile ninachokikusudia mambo mengine tutalekebisha pole pole!

Mh Rais, uniwie radhi sanaa, jumapili ya leo nikiwa nimepumzika nimejiwa na ndoto,ndoto hii imenijia saa kumi na mbili na nusu kumepanzuka.

MH Rais nmeoneshwa wewe ukiwa ofisini kwako, nimeoneshwa ukiwa mnyonge ambaye umekunja uso uku ukiyatazama MAFAILI YALIYOJAA MEZANI.

Mh Rais,ndoto yangu imeendelea kunionesha ukiwa unafunua MAFAILI MBALIMBALI,HUKU ukiwa unafyonya fyonya.

Nilipokugolea KUNA faili moja ukalifunua nusu,ukaliweka chini,nalo nimeisha lisema kupitia PARTY ONE yangu si jingine ni lire la fedha za wahisani zilizokuja kunusuru viwanda vyetu vilivyoathirika na dodoko la uchumi la Taifa,fedha zile zilipigwa na wajanja tu.

Kwa mbali nikakuona umegusa Faili jingine la KIJANI ili ni FAILI AMBALO lina ORODHA YA VYAMA VYA USHIRIKA AMBAVYO VILIPEWA FEDHA ZA MIKOPO NA VYAMA HIVYO NI HEWA HAVIKO TENA WATU WALIUNDA VYAMA ILI WAPIGE FEDHA NA BAADA YA MABILIONI YA JAKAYA KUINGIA VYAMA HIVYO HAVIKO TENA NA MABILIONI YAMEYEYUKA.

Faili hili bahati nzuri aliyekuwa Waziri wa Kilimo, mzee wetu Stivini Wasira analijua vyema kwani alikuwa miongoni mwa waliosajili vyama hivi, baadae fedha zilivyoingia yeye akiwa waziri wa kilimo kila mwaka alikuwa akija na bajeti ya kulipa madeni ya vyama hivyo huku akijua ni vyama hewa!

Mabilioni yalipigwa, na bado wizara zikiendelea kulipa madeni hewa kupitia vyama hivyo.

Mh Rais, najua faili hili na wewe ukiwa waziri Mh stivin Wasira mulihudumu nae kwa hiyo hilo Faili unalijua. Ndoto yangu inanionesha kila ukitaka kulifunua unaliruka.

Tafadhali TAJA VYAMA HIVYO HEWA VILIVYOKULA HIZO FEDHA ILI WATANZANIA TUVIJUE MAANA WALIOVIANZISHA TUNAISHI NAO HUKU USWAHILINI KILA SIKU WANATUMWAGIA MAJI NA MAGARI YAO KUMBE NI FEDHA ZA UMMA PASPO KUJALI RANGI. TAFADHALI FUNUA HILO FAILI!

MIMI NI sifileo
Kutoka Ntwara
Nkulima wa korosho.
Nenda kanye kisha uchambe kwa mgomba. Huu wazimu wa ndoto mpelekee mkeo na wakwezo
 
Lugha ya Taifa unaibananga! Au wewe si raia uchunguzwe? Unawezaje kutojua kutumia “a” na “h”. Husikumu badala ya “usihukumu” hujise badala ya “usije” , ukumiwa badala ya “hukumiwa”.
PRODUCT YA VITUO VYA UJINGA (KATA SEKO) WALIOHITIMU PRIMARY NA KUFAULU BILA KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA SAWASAWA.
 
Back
Top Bottom