Jaman naomba msaada mimi sijaelewa hiyo green card nikiapply ntafaidika vipi? Au ni kwa wale ambao wamepata ajira huko marekani au ambao wamepata admission ya chuo marekani?? Tafadhari naomba nijuzwe
Jamani nipo njia panda naombeni msaada course ipi nzuri kusoma kwa kipindi hiki na kijacho kati ya flight operator/dispatch na airport operation/ground operation najua wapo waliopitia huko nahitaji mawazo yenu juu ya upatikanaji wake wa ajira na mshahara wake...
Ahsante
Atapatikana? Kwan tukio lina mda gan mpaka leo??? Muamin raisi ila hakuna swala kama ilo Nakuapia hapatikan mtu yule anakula maisha na usikute kapandishwa na cheo
Tunazugwa tuu bhnaa hakuna raia wa kutoa silaha mbele za watu..kwanza mpaka picha zake za facebook na insta watu waliziweka bado tu? afu kama ni raia kwanini amzuie nape kuzungumza? Alikeleka na nini? Au nape alimchukulia mkewe? Wasitufanye wajinga kias hiko
Sorry kaka hiyo ni kwa mwez!! Haiwezekan kwa mwaka mzima wakalipa hiyo hela.. fuatilia vzur utagundua ni usanii mtupu kama kusems tra wanakusanya matrilion kwa mwez
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.