Recent content by ngorokolo

  1. N

    Padri Kitima: Unafiki na kusifia kila jambo ili kupata vyeo kutaliua Taifa

    Unafiki umeanza kwa viongozi wa dini hao ndio wanafiki namba 1 wakati wa nyakati ngumu nao waligeuka bebdera kufuata upepo sasahivi nao wanainua mabega kujifanya wanakemea unafiki wakati wao ndio waliobeba bendera ya unafiki aache upuuzi asijifanye hayo anayaona leo yeye aendelee kukusanya...
  2. N

    Idara ya Ikulu Mawasiliano ni wazembe au wanafanya makusudi?

    Acha upuuzi yaani waache kuonyesha picha kamili waweke mapicha yenu ya mapambio feki? Huyo Hangaya hatoshi ndio maana akina Lukuvi, Ndugai na propaganda walitaka akalime karafuu huko kwao
  3. N

    Kenya 2022 Nafuatilia Uchaguzi wa majirani zetu kiukweli NEC ya Mahera ni bora kuliko Tume Huru ya Uchaguzi Kenya

    Mgombea kupita bila kupingwa na police kusaidia watu wenye mabox ya kula yasiyo halali
  4. N

    Tumechoka na Kampeni za Hedhi Salama 'Maredioni'. Himizeni Mabinti kuacha Tamaa na Kumomonyoka Kimaadili

    Nilifikili ungeanza na wale wanaolipwa kodi zetu kama mishahara na posho kule dodoma mkuu
  5. N

    Huyu Godwin Gondwe Mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia aliyekuwa akichambua jana BBC Dira ya Dunia ndiyo huyu huyu DC au?

    Mkuu mbona imeisha hiyo kwenye sherehe za sugu mama enu alimsemea niki wa 2 kuwa anabalansi mziki na udisii ivyo fuleshi tu sasa gg si muendelezo tu utakuwa alafu udisii ukumbuke ni koti la kuazima
  6. N

    Mamlaka ya uteuzi chini ya ofisi ya Rais inanuka rushwa ndio maana wateule wengi wa Rais hutapeliwa ovyo na watu wanaojinasibu hutoka ofisi ya Rais

    Mbona sabaya alitapeli kwakujifanya afisa usalama wa taifa na fresh tuuu sema mambo yakiharibika ndio ivyo
  7. N

    Msaada: Kazi ya ziada ya kufanya nyakati za jioni

    Fanya biashara ya kuuza sambusa tu tengeneza za nyama zenye pilipili na zisizo na pilipili tembeza kwenye sehemu za mkusanyiko wa watu,changamoto uvumilie kuombwa namba ya cm
  8. N

    Kuna haja gani ya kuendelea kuwa Na rafiki wa namna hii?

    Hivi gazeti la mzarendo bado lipo?
  9. N

    Huyo ndio Tido Muhando bingwa wa mahojiano na Marais

    Anachokisema ni muendelezo wa porojo ambazo wenzie walishazisema huko nyuma labda jipya ni hili la kukunwa nae atamkuna zaidi na kumpapasa na kumpuliza
  10. N

    Hivi inakuwaje mwezi uandame Kenya halafu Tanzania usiandame?

    Chief hangaya ndip mgeni rasmi sasa asingeweza kucheza dk 90 maana kilomita zimeenda si unajua jana alikuwa wapi?sasa msema chochote wa taasisi pendwa iliyochini ya kasirikari ketu akaona atanue gori ili kufanikisha hangaya kuhudhuria
  11. N

    Panya Road wapuuza karipio la Rais Samia, waendeleza uhalifu kama kawaida

    Kuna wajinga furani wanasemaga interejensia yao ipo imala sasa kama vijana zaidi ya 20 wanasuka jambo na kwenda kulitekeleza bira ya hao form 4 vilaza kujua je wangekuwa na siraha za moto ingekuwaje?
  12. N

    Mume wa Maunda Zoro ni aina ya Wanaume hovyo wa Dar es Salaam

    Ndege wafananao hao mkuu mtoa mada hajawaza hilo
  13. N

    Kassim Majaliwa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2025

    Majaliwa anafaa kuwa naibu waziri wa elimu tu na si vinginevyo
  14. N

    Tetesi: TANESCO hawataki kuwaunganishia umeme wateja wa Bei ya 27000

    Mkuu kwani wakati simba mwenye sharubu anatangaza wao hawakujua hilo +hangaya wakati anahubiri kule tanga?hayo yalikuwa maelekezo ya kamati ya bunge bei elekezi iwe 27 ili taaanesikoooo wawe na makusanyo ya kutosha kupitia mauzo ya luku
Back
Top Bottom