Recent content by Ngonini

 1. N

  CHADEMA yang'ara Morogoro

  Hii ni habari njema sana! Hakuna kitu itafanya ccm kitanifanya nirudishe upendo wangu ccm! Nilishatupa kila kitu na ubabewa mwenyekitiwao mpya ndo anaongezea kichefuchefu kabisa! Kwa mabaya walitufanyia siwezi kupigia kura ccm mini na nyumba yangu!
 2. N

  Asante Rais Magufuli kwa kuua vyama vya siasa na CCM ya Lowassa

  Hivi wewe unajua umuhimu wa upunzani kweli ? Hivi leo isingekuwa kibano cha upinzani ungekuwa unaisifia ccm leo? Nani aliyesababisha Magufuli awe Rais! Unadhani Magufuli alikuwa chagua la ccm? Kama mtu unaakili hutakaa usifie ccm, maana ccm haijafanya haya tunayoyaona sasa hivi kwa hiari...
 3. N

  Masoud Kipanya atabiri hali mbaya kwa CHADEMA

  Ni mwenye akili ndogo tu ndo anaweza kusahau namna upinzani hasa chadema walivyochangia katika kuleta mabadiliko tunayoyaona sasa! Bila upinzani imara hakuna cha maana kitafanywa na ccm nchi hii, Magufuli yuko pale kwa sababu ya upinzani, bila nguvu ya upinzani ccm ingempa magufuli kugombea...
 4. N

  Bungeni: Waandishi nao walitimuliwa

  Ndiyo maana mimi Rais wangu bado ni Mamvi! Itakuwa vigumu kuiamini ccm hata kama ikiongozwa na malaika!
 5. N

  Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

  Nchi hii imejaa mbulumbulu wengi mpaka natamani niondoke! Mijitu haitaki vitu vya msingi vifanyike wanakimbilua UJI kama ulivyosema! Sasa hivi kutokana na propaganda za media za huyu jamaa mpenda sifa, watu ukiwaambia tutafute katiba kwanza utaona mijitu inaingia mitini imesharidhika na story za...
 6. N

  Wabunge wa UKAWA ni wendawazimu?

  Gazeti gani hili? uhuru?
 7. N

  Dr. Magufuli na usanii wa Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili

  Hivxo bvitanda ni kwa ajili ya jengo jipya karibu na moi, wala siyo hivi vya magufuli! Ni wapambe tu wana wanajaribu kujipendekeza kwa magufulli kwa sababu wanamjua anayopenda sifa za kwenye media!
 8. N

  Kikwete a smart Man that I know

  Nitaendelea kuichukia ccm mpaka itoke madarakani kama niko hai! Haijalishi magufuli ataleta maendeleo gani!
 9. N

  Polisi Mwanza wazingira njia ya kuelekea hospitali ya Bugando

  Wanalinda kipindupindu eti tumeambiwa!
 10. N

  Polisi yawagomea Lowassa, Sumaye, Mbowe Mwanza

  Sijawahi kuona serikali halali inayojiamini inahangaika na mambo ya kitoto namna hii! Utakuta hao polisi wanalipwa mpaka posho kwa kukaa barabarani kuzuia watu kuaga mwili wa marehemu! Mbona Firikujombe ccm walimzika kwa heshima zote na haikuwa nongwa? Nadhani kuna kitu hakiko sawa ndiyo...
 11. N

  Mbinu ya CCM kwenye kesi za uchaguzi

  Kwa hili dubwana lilipotufikisha yote yanawezekana! Ila siku limeanguka puuuuu nchi itazizima kwa machozi ya furaha! Haijalishi itachukua miaka mingapi nitasubiri tu Mungu akinipa uhai! Hakuna kinachoweza kufanyika nikaipenda ccm tena!
 12. N

  Mtazamo wangu kuhusu wabunge wa UKAWA Kuzomea bungeni

  Hivi kuna ntu mwenye akili yuko ccm? wengi wanaounga wanao laumu ukawa kutoka nje ni mbumbu tu, maana tunajua hawawezi kujua kinachomaanisgwa na ukawa maana inahitaji kusoma ili uelewe ukawa walimaanisha nini! Tatizo la mbumbumbu huishia kuangalia picha na kufanya conclusion! Na hili la picha ya...
 13. N

  Mtazamo wangu kuhusu wabunge wa UKAWA Kuzomea bungeni

  Hivi nchi hii kuna jambo linaweza kutatuliwa kwa kukaa kimya kuisubiria serikali ya ccm iwasaidie! Kwanza wazanzibar wamekuwa waungwana sana, kipindi hiki! Kama wangeamua kudai haki kwa nguvu mwafaka ungekuwa umeshapatikana tayari!
 14. N

  Mbunge Elibariki Kingu wa CCM akataa posho kwa wabunge "sitting allowance"

  Anajipendekeza uwaziri, wewe hujui akili za wana ccm? Ni wawinda fursa tu basi! Huyu si alikuwa mkuu wa wilaya JK akamtema!, sasa anajipendekeza iliaonekane anawaza sawa na Rais! Utaona kama atazikataa hizo laki 3 akikosa uwaziri! Chezea akili za maccm wewe!
Top Bottom