Recent content by Ngoniboysinai

  1. Ngoniboysinai

    Nina kampuni ya uuzaji wa avokado na korosho nje ya nchi .

    Asante sana kwa wazo zuri sana natumaini nitafanikiwa na kikubwa tuinuane tu sisi vijana tusikatishane tamaa
  2. Ngoniboysinai

    Nina kampuni ya uuzaji wa avokado na korosho nje ya nchi .

    Yaap kule shambani kuna wakenya wengi wananunua sema kwa bei ndogo sana lazima nipate conection ya huko sauz nahuatilia asante
  3. Ngoniboysinai

    Nina kampuni ya uuzaji wa avokado na korosho nje ya nchi .

    Mimi ndo naanza ,kupata masoko lazima kuna vigezo utimize mimi nimetimiza vyote ndo mana nimefungua hiyo kampuni na kosa labda mimi sio mwanfishi mzuri nisame kama sikueleweka tembelea ktk website yangu www.mafupatz.com
  4. Ngoniboysinai

    Nina kampuni ya uuzaji wa avokado na korosho nje ya nchi .

    Wazo zuri si unajua mwanzo mgumu kwa sisi wakulima
  5. Ngoniboysinai

    Nina kampuni ya uuzaji wa avokado na korosho nje ya nchi .

    Tembelea www.mafupatz.com upo sawa sababu humu kila mtu hazuiwi kujieleza
  6. Ngoniboysinai

    Nina kampuni ya uuzaji wa avokado na korosho nje ya nchi .

    Mimi ninalengo na nchi zenye mahitaji makubwa ya avokado na korosho maana nahitaji soko ingia ktk websate yangu www.mafupatz.com
  7. Ngoniboysinai

    Nina kampuni ya uuzaji wa avokado na korosho nje ya nchi .

    Kamuni yangu ni mpya je nawezaje kupata tenda na kupata wateja nje kama vile india na nk. Msaada kwa mwenye uzoefu anishauri
  8. Ngoniboysinai

    Meneja wa TRA Kibondo akamatwa na meno ya tembo

    Dah huyu ni kijana mdogo sana na huwezi kumzania kwa mda niliowahi kukutana nae kibondo dah ni mtu poa sana sana nazani pia kachomwa na walikua wana mfuatilia bila yy kujua dah!pole yake
  9. Ngoniboysinai

    Nakodisha maturubai 7/7 Dar es Salaam

    Habarini! Kwa muhitaji na mfanyabiashara mwenye eneo viwanja vya saba saba Dar na anauhitaji wa turubai na kufungiwa idadi yoyote kwa makubwa na madogo yapo nakodisha hata ktk sherehe misiba nk. Yapo safi tuwasiliane 0620772313
  10. Ngoniboysinai

    Kuhani Musa anafanya huduma inayochonganisha watu. Ipo siku watu watadhuriana ndio serikali iamke usingizini

    Kuna uwezekano mkubwa sana hao wachawi wanapangwa wanapata pesa ili waaminishe watu wengi zaidi
  11. Ngoniboysinai

    Kwanini nikimuangalia Diamond naiona Sura ya Umiliki wake wa Wasafi Media, ila kila nikimuangalia Ali Kiba siioni Sura ya Umiliki wa Crown Media?

    Haya ya umiliki wa wasafi yalishajilikana mapema sana ni daimond na mke wa kusaga baadae inasemekana daimond alinunua hizo hisa za mke wa kusaga kupitia mama yake hata hili la kiba litajulikana
  12. Ngoniboysinai

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hivi mechi tano ktk mkeka refund all na huo mkeka uki tiki wanafanyeje naomba maelekezo
  13. Ngoniboysinai

    Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

    aisee kama huku bado viradi na manyunyu ila wingu bado lipo
Back
Top Bottom