Recent content by Ngongele Msanga

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kutoka kijiji cha wavuvi hadi kuwa jiji kubwa kabisa Afrika mashariki na kati. DAR ES SALAAM.. mungu ni mwema sana..
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nani Bora zaidi katika nyanja ya uchumi kati ya Zitto Zuberi Kabwe na Dr Bravious Kahyoza

    Ni kada wa chama cha mapinduzi aligombea ubunge kwenye mchakato wa kura za maoni kwenye moja ya majimbo ya mkoa wa kagera.. sijui kwa nini Magufuli hajampa ata u DAS maana njaa inamsumbua sana.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nani Bora zaidi katika nyanja ya uchumi kati ya Zitto Zuberi Kabwe na Dr Bravious Kahyoza

    Huyo mwalimu ni kada wa ccm hana chochote njaa tu inamsumbua ..
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TURKANA: Mwanafunzi aliyefukuzwa shule alipiza kisasi kwa kuwaua wanafunzi 5 na mlinzi

    Wasiojulikana hapo wamekujaje mkuu?
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jubilee Wamesha Vuruga Katiba Ya Kenya

    Wakenya bhana.. mnaendelea kujichanganya, mnakwenda mbele hatua 10 na kurudi nyuma hatua 18.. lakini nawapongeza kwa kuendekea kusubutu kwenye mambo ya nchi yenu. Ukweli mtapigana na kuuana sana lakini baadae mtapata njia nzuri ya kuishi kwa kuheshimiana.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Nchi Unazidi Kudidimia, Thamani ya Shilingi Yashuka, Mfumuko wa Bei Wapanda

    Sasa kama si Zitto Kabwe kuja na taarifa yake TRA wangeendelea kukaa kimya? Mbona utalatib mzuri wa kisomewa mapato yetu kila mwezi umekufa na sasa kuvizia zitto atoe taarifa na wao wakanushe? Kuna uwezekano mkubwa ripoti ya TRA ikawa ya uongo mbona wamepoteza kujiamini na kuanza kucheza ngoma...
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maduka ya Uchumi walipofunga TZ, mlishabikia sana humu, sasa na hawa wengine mnawacheka?

    Yaani mimi niende Nakumatt nikanunue juice ya kopo ya kutoka uarabuni au S.A kwa buku tano wakati buku tano hiyo najaza mfuko wa matunda fresh kutoka mtini pale buguruni sokoni ninayoweza kula na familia yangu siku 3.. Kupapatikia maisha ya kizungu ndio ushamba wenyewe. Wakenya ninyi ni washamba...
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati Kenya ikifanya uchaguzi kila baada ya miezi mitatu Tanzania inateka soko EAC Burundi na Congo

    Ndugu kama kuwa kwenye mpaka mmoja na nchi ndio kufanya biashara zaidi na nchi hiyo basi mzigo wote wa Ethiopia ungepitia Mombasa. Kwa taarifa yako tu bandari ya dar inafanya biashara hadi na Zimbambwe wewe unajionaje mjanja kufanya biashara na burunndi..?
  9. N

    JamiiForums Tanzania RC Gambo ndani ya sakata la rushwa Arusha

    Hivi PCCB kazi yao ni kushughulika na rushwa zipi? Ili jambo lipo wazi kabisa na ushahidi wa video bila chenga unaonekana lakini naamini hutowasikia kabisa. Mhe Mbowe kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni amewai kuongea ndani na nje ya bunge kuwa wabunge wa ccm wameongwa milioni kumi kumi lakini...
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Citizen Tv na habari za ombaomba wa kukodishwa.

    Hivi ninyi wakenya kwani ombaomba wote hapo Nairobi au miji mingine ni kutoka Tz pekee. ?
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania SGR Bridges vs Kenyan

    Ndugu kelele za siku zote za nyuma na majigambo yote umeishia kukalishwa kwa mchoro tu. Wakenya bhana!.. hahhhhaaaaaha .
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hata kama Serikali ikiwakata ulimi watanzania wote ili wasiongee, tutaongea kwa alama za ishara

    Serikali ya hapa kazi tu imepwaya sana inatetemeka haijiamini tena ndio kwanza mwaka wa pili tu lakini wamegundua wamefanya makosa mengi sana yenye kulighalimu taifa sasa wanafungia magazeti na kupiga watu risasi ..
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Dreamliner inataka kuwekwa rehani

    Zikamatwe tu na zipigwe mnada.. uzalendo gani wakati swali na Mhe Nape wanashindwa kuijib wanabak kupaniki tu.. bombardier au dream liner ndio nini? kwa saut ya babu yangu wa kule Titu kiale 'kisarawe'
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kimenuka Kenya: Rais Uhuru Kenyatta awaondolea Bodyguards Odinga na Musyoka

    Kitendo kibaya sana kufanywa na rais kipindi hiki.. usiojulikana wakimpiga mashine SMG bwana Raila patakuwa hapatoshi.. Naona wenzetu mnawashwawashwa mnachokitafuta mtakipata ..
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta: Raila Odinga akishinda uchaguzi tutamuondoa ndani ya miezi mitatu tu

    Si tu Ksh bilioni 14 pekee kumbumbuka na kuna watu walipoteza maisha yao na atujui sasa hivi watakufa wangapi? Mnamshangaa Uhuru kusema atatumia bunge kwa wingu wa watu wa chama chake bungeni kumtoa Raila kama akishinda, lakini umesaau kuwa Raila ujaribu kutunia njia yoyote ile kufanya hivyo...
Back
Top Bottom