Recent content by Ngondonyoni

  1. N

    4IR na 4th Industrial Revolution Africa

    Ukitaka kutumia referral kwanza ujisajili bure. Utumie referral hii RBV-00019 at Blockchain Valley kwa kujisajili. Mara umeshajisajili na KABLA ya kuendelea utapata namba yako ya pekee ya referral ndani ya "my account".
  2. N

    4IR na 4th Industrial Revolution Africa

    Tovuti zipo kwa English, Kifaransa na Kihispania. Mikataba (Purchase agreement) zinakuwa na KYC ya awali, na pesa zote ya ununuzi zitakaa kwa escrow, audited na Mamlaka wa Masoko wa Ufaransa (AMF) baada ya mwisho wa mauzo 23 July 2023. Tokens distribution itafanyika kadiri ya ratiba ya...
  3. N

    4IR Token, The Web3 and the 4th Industrial revolution in Africa

    Use this referral number to register for free RBV-00019 at Blockchain Valley
  4. N

    4IR na 4th Industrial Revolution Africa

    Jamani mkipenda msome 4IR Token. The Web3 and the 4th Industrial revolution in Africa Karibuni
  5. N

    4IR Token, The Web3 and the 4th Industrial revolution in Africa

    Our Linkedin is https://www.linkedin.com/company/blockchainvalley-bv/ Our main company is www.blockchaincompany.info (Linkedin https://www.linkedin.com/company/blockchaincompany/) Our email is offering@4irtoken.com Welcome to discuss (starlightz? where are you?)
  6. N

    4IR Token, The Web3 and the 4th Industrial revolution in Africa

    Good day, fellows. In these times of technological change, whoever in business and white-collar jobs not aware of the incoming 4th Industrial Revolution and the Web3 issues is wasting time. These changes are bringing digital money, new approaches to technology and understanding of business...
  7. N

    Uzi Maalum wa kupeana Maujanja ya Cryptocurrency

    Pamoja na yote, elimu na ujuzi zinahitajika sana. Kabla ya kupoteza pesa kwa sababu ya FOMO (Fear of Missing Out), inabidi kusoma au kuangalia sana tutorials ya kila aina kuhusu cryptocurrencies, NFTs na DeFi, pia podcasts za kila siku toka pande zote za Dunia kwa Youtube, Twitter, n.k...
  8. N

    Skinny jeans za kike mtumba grade A zipo DSM!

    Asante sana kwa wazo nzuri. Ila nimeamua nisiweke, kwa sababu maalum ya kimarketing. Serious people will DM, direct message, or PM personal Message. E-commerce in a mikakati mingi.
  9. N

    Skinny jeans za kike mtumba grade A zipo DSM!

    Zitakapofika wiki hii nitapiga picha lakini ni sawa na hizi
  10. N

    Skinny jeans za kike mtumba grade A zipo DSM!

    BALE ZA SKINNY JEANS ZA KIKE MTUMBA GRADE A zinakuja wiki hii Dar es Salaam. Kila bale ina jeans kati ya 100 mpaka 115, ya rangi mbalimbali. Bei ya kutupa, bale moja kwa jumla laki 4 na themanini tu! Usipoteze nafasi, ondoa umaskini. Hatuuzi rejareja kwa sasa Kwa Maelezo zaidi DM!
  11. N

    MSAADA,NATAFUTA JEANS HIZI

    BALE ZA SKINNY JEANS ZA KIKE MTUMBA GRADE A zinakuja wiki hii Dar es Salaam. Kila bale ina jeans kati ya 100 mpaka 115, ya rangi mbalimbali. Bei ya kutupa, bale moja kwa jumla laki 4 na themanini tu! Usipoteze nafasi, ondoa umaskini. Hatuuzi rejareja kwa sasa Kwa Maelezo zaidi DM!
  12. N

    Ni wapi naweza kupata nguo za mitumba za wanawake kwa Dar es Salaam?

    BALE ZA SKINNY JEANS ZA KIKE MTUMBA GRADE A zinakuja wiki hii Dar es Salaam. Kila bale ina jeans kati ya 100 mpaka 115, ya rangi mbalimbali. Bei ya kutupa, bale moja kwa jumla laki 4 na 80 tu! Usipoteze nafasi, ondoa umaskini. Hatuuzi rejareja kwa sasa Kwa Maelezo zaidi DM!
  13. N

    TANZIA: Mwanafunzi Kampala International University (KIU) afariki dunia baada ya kushambuliwa na vibaka

    Huyu binti alikuwa rafiki ya karibu na binti zangu. Alikuwa mtu mzuri na mchapakazi, alikuwa na mawazo mengi kuhusu maisha yake ya baadaye na alikuwa anakaribishwa popote kwa ukarimu wake. Tunasikitika sana leo. Usalama wa eneo la UDSM ni dogo sana haswa wakati wa usiku, ingawa mwenyewe...
  14. N

    Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

    Mfumo wa Apartheid na ya ubaguzi wa rangi bahati nzuri umeisha. Lakini msema kweli.... Jamani, article hii inatokea kila mwaka, na kila mwaka wengi wanaamini kwamba ni ya kweli. SI YA KWELI. NI FEKI. Speech hii SI KWELI. Just google it plus fake.... Sitasema zaidi ya kwamba Internet ni kubwa...
Back
Top Bottom