Recent content by ngomicom

  1. N

    Maisha yamebana

    Mimi si mtaalamu wa uchumi lakini naweza kusoma nyakati, kiukweli umma hauna pesa mifukoni hali ambayo kimsingi inatokana na utekelezaji wa serikali iliyopo madarakani (Maisha yamebana bhana). Kiukweli bei ya shamba (Eneo) la ekari moja ambalo linauzwa hapa Visiga - Kibaha ambalo ni shilingi 12...
  2. N

    Makongoro anasema watu 15 wanataka kumuua

    Duu humu ndani ya Jamii forum kunashida. Watu bado wanamawazo ya zama za ujima. Eti "yaani mtu hajawahi hata kuwa katibu kata eti anautaka u Rais si upumbafu huu" Leo ndugu yangu unawaza kizamani hivyo! Nenda Darasani ndugu.
  3. N

    Kutoka Bungeni: Sugu ajibu tuhuma za kupora mtoto kutoka kwa mzazi mwenzake

    Hii habari bado haijitoshelezi Lakin wadau hili Leo mnaliona dogo kwasababu mhusika in Mh. Sugu lakini like La Mh. Kapuya lilikuwa sahihi kulijadili kwa vina na mikogo
  4. N

    Kutoka Bungeni: Sugu ajibu tuhuma za kupora mtoto kutoka kwa mzazi mwenzake

    Wanajf kama kuna MTU yupo mjengoni atupatie full story tena na photo kabisa
  5. N

    Bado nauza laini za Tigopesa, M-Pesa & Airtel Money

    Wapendwa Wajasiriamali wenzangu, bado nauza laini zangu tajwa hapo juu. Sababu ya kuuza ni shida binafsi Piga 0717037091 / 0755345833 kwa mazungumzo zaidi.
  6. N

    Nauza laini zangu za Tigopesa, M-Pesa na Airtel Money

    Ndugu watanzania wenzangu wapenda ujasiriamali, Mimi ninamiliki laini na kufanya kazi ya uwakala wa huduma ya Pesa kupitia mitandao mitatu yaani; 1. Tigo 2. Vodacom 3. Airtel Kwasasa ninalazimika kuziuza laini zangu kwasababu binafsi. Yeyote mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa simu hii...
  7. N

    Yaliyojiri Mwitongo, kutangaza kuwania urais kwa Makongoro Nyerere

    Shaka ya nini tena!tunajuaje kama hawa wengine waliweza kuwaalika hao wa staafu. Kama atafika kwenye moja bora itakuwa ni kampeni yake tu na sio sababu ya hao wastaafu kuhudhuria
  8. N

    Kugombea Urais: Kwa alivyojieleza, Makongoro Nyerere aombe Ukatibu Mkuu wa CCM, sio Urais

    Kwani were na Mimi tunayofursa ya kumwezesha yeye kuwa mgombea uraisi?. Anachokifanya yeye in sahihi na hajakurupuka kwani ni mambo ya utaratibu tu. Wahusika wake wakubwa kwa sasa ni wana CCM, akiweza kuwashawishi hao na akapita kuwa mgombea atarudi kueleza kwa watanzania wrote Sera za CCM kwa...
  9. N

    Yanga hongereni sana ila acheni uvivu

    Nastahili kuwapa pongezi Yanga sports club kwa kupambana mpaka tone LA mwisho ila kwa mtazamo wangu acheni hiki ninachokiita uvivu. Ukweli ni kwamba yanga ni wavivu sana maana tangu michuano hii ya shirikisho ianze awamu hii Yanga hawajawahi kushinda ugenini, hata pale ambapo timu ilishinda...
  10. N

    Vichwa vya Magezeti ya Bongo

    Jk alitoa kauli sio tafsiri, hapo ndo iliposhida kwa wahariri wetu au tumeweka maslahi Mbele.
  11. N

    Vichwa vya Magezeti ya Bongo

    Wapendwa Wana JF hili tatizo la ama wahariri wetu kuandika kwa maksudi kibiashara au kufanya makosa katika uandaaji wa vionjo au vichwa vya magazeti bila kuzingatia mantiki na uhalisia wa habari yenyewe linazidi kukua sasa. Hebu pitieni magazeti ya Leo na muone Hali halisi juu ya hutuba ya Mh...
  12. N

    Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Niambie kwa jinsi ulivomwelewa Kard. Pengo, amewaagiza waumini na wananchi wapige kura gani? Ndiyo au Hapana?
  13. N

    Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Si vibay tukipata zote lakini ya akili na kiroho ni muhimu zaidi
  14. N

    Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Nahisi ndugu zake Gwajima ni wengi, kama kweli unafahamu maana ya migogoro kwenye inchi usingeweza kushabikia haya!
  15. N

    Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Wapendwa wana JF naombeni Cv ya Mchungwaji Gwajima maana kwa mtazamo na uelewa wangu haya si maneno ya kusemwa na mchunga kondoo wa Mungu, kama ndo hivo basi hakuna haja ya kufuata makanisa ya namna hii yanayotumia maandiko matakatifu vibaya, na nafikiri dhehebu hili lafaa kuonywa kwa kiongozi...
Back
Top Bottom