Recent content by ngomeu

  1. ngomeu

    Mazinde High School, huu ni uonevu kwa Wazazi

    Tunashukuru,sauti zimesikika! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. ngomeu

    Mazinde High School, huu ni uonevu kwa Wazazi

    Tena wizi wa mchana! Serikali inapaswa kuingilia kati mara moja kabla hawajatimiza azma yao! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. ngomeu

    Ushahidi wa Serikali kuingilia Mahakama: Jaji athibitisha jinsi viongozi wa Serikali wanavyoingilia hukumu kuwaumiza upinzani nchini

    Umetumwa? Presidaa mstaaf mwenyewe ameandika hadi kitabu kuelezea prons/cons akiwa raisi,sembuse Mh.Jaji anatoa maoni ya moyoni aliokumbana nayo kipindi chake,una bwabwaja credibity! Huna hoja
  4. ngomeu

    Mauaji Kampala Int.University

    Ni kweli,naskia msako umeashaanza!
  5. ngomeu

    Mauaji Kampala Int.University

    Duh! Hatari jamani
  6. ngomeu

    Mauaji Kampala Int.University

    Sorry,kuanzia saa 12 jioni.
  7. ngomeu

    Mauaji Kampala Int.University

    Upo sawa,lkn Gvt yaeza tumia hata mgambo wake pia kwa maeneo hatarishi kama hayo,kuimarisha secururity,utakumbuka maeneo ya town askar polc wanapita na silaha maeneo mbalimbali kuanzia tme za saa 22 jioni,sasa huko pembezoni kungepewa kipaumbele pia,maana ndipo wahalifu wengi wamapokimbilia...
  8. ngomeu

    Mauaji Kampala Int.University

    Tunaomba serikali kupitia wizara yake ya mambo ya ndani,kuimarisha doria eneo la chuo hiki kilichopo Gongo la Mboto Dar,wanafunz wamekua wakijeruhiwa ovyo na wanaoitwa vibaka na kuibiwa vitu vyao,na tunaona Jumapil jion bint mdogo H.Mgaya mwanafunzi ameuawa eneo la getini maskini bila msaada...
  9. ngomeu

    For JamiiForums Mobile users

    Maana nashindwa kufungua baadhi ya video,zingine zinafunguka
  10. ngomeu

    For JamiiForums Mobile users

    Nisaidieni kuna video zingine nikitumiwa, nikizifungua kwenye u tube inaniandikia u cant view this video with restricted mode on! Sasa nai off vp
  11. ngomeu

    KKKT WACHUNGAJI WANAKAZI GANI

    Kumbe nao wanakwepa wajibu?waambieni warudishe joho!
  12. ngomeu

    Naomba kulifahamu kwa undani Kanisa la Orthodox

    Mi napita,maana sjasoma hiyo GREAT SCHISM!
Back
Top Bottom