huna lolote, ya Zanzibar kawaeleze wa Zanzibari au kasome katika yao uielewe na siyo kuropoka humu, kila kinachofanyika kina sheria na taratibu zake, kama walishindwa kurekebisha katiba kwa kulewa posho za ubunge, leo uchaguzi unafika unasema tume siyo huru, na kuibadili kabla ya uchaguzi...