Naomba Muongozo hapa.
Niliagiza mzigo tangia mwezi wa nane lakini mpaka saiz sijaupokea posta.
Zilipofika siku 48 seller aliextend purhase protection saiz zimebaki siku 29 baada ya kuongeza hiyo purchase protection.
Tracking inasomeka hivo.
Je kuna uwezekano wa kupokea huo mzigo au ndo nimepigwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.