Recent content by ngolombwanje

  1. ngolombwanje

    Mmoja afariki kwa kuangukiwa na mti Majohe

    Mtoa mada elezea majohe ipi maana majohe ni kubwa
  2. ngolombwanje

    Ni nani anayemlinda Lipumba? Hongereni CUF

    Lipumba ni shujaaa, show ya mtu mmoja anaijua kweli sijui nimuite mtoto wa mjini au mzee wa jiji.
  3. ngolombwanje

    Rais Magufuli amualika Ney wa Mitego Ikulu, kufanya Mazungumzo

    Hii inaweza kuwa faida kwa mwanamuziki kwani ni moja ya CV adimu sana kutokea. Leo nasikia Ney naye kaitwa na mkuu akale bata. Sipati picha msanii kama Ney kuingia Ikulu, nadhani ndio first time km ni kweli. Source hawa hapa chini. ========= Msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel...
  4. ngolombwanje

    Rais Magufuli aamuru Ney wa Mitego aachiwe huru na wimbo wake upigwe vituo vyote redio na TV

    Ili Ney awe sambamba na mhe, ni vyema afanye remix fasta.
  5. ngolombwanje

    Rais Magufuli aamuru Ney wa Mitego aachiwe huru na wimbo wake upigwe vituo vyote redio na TV

    Nionavyo ni vyema Ney akafanya remix ya wimbo wa WAPO ili kuongeza verse km alivyoshauri mhe Rais ndipo uruhusiwe ukiwa mzuuuri. Kwa sasa huo wimbo bado una marangirangi.
  6. ngolombwanje

    Sikutegemea kama mdogo wangu Nape naye angelimia meno, wengi mjiandae

    Lizabon upo mkuu? Kwanza heshima kwako, pili kuna watu walisema umekimbia jukwaa. Bora umerudi. Umenifurahisha pale uliponakiri maneno ya mhe. Kwamba UKIONA WAPINZANI WANAKUSHANGILIA RUDI NYUMA UJIULIZE UMEKOSEA WAPI..hakika usemi huu utakumbukwa vizazi hadi vizazi naomba uhifadhiwe kwa nukuu...
  7. ngolombwanje

    Container 256 zakamatwa zikiwa na mchanga wa dhahabu!

    Kesho picha zitafuata, subiri nadhani wale nyumbu mtajinyonga maana hamuamini km tunakwenda ktk pato la kati
Back
Top Bottom