ngolombwanje
Member
- Mar 20, 2017
- 19
- 27
Leo ukaguzi unaondelea umefanikisha kukamatwa kwa container 256 zilizojazwa mchanga wenye madini ya dhahabu.
Polepole tutakuelewa mhe Rais
Polepole tutakuelewa mhe Rais
Nitakuwa mtu wa mwisho kuiamini habari hii bila picha.
Juzi tulipewa kontena lenye magari, lkn gari mojawapo likawa na plate number ya Z'bar.
Mmekagua na kuiona hiyo dhabau ndani ya mchanga?
Aisee tangu nijiunge jamii forum sijawahi kukutana na swali kama hiliZimekamatwa ili tuzifanyie nini
Leo ukaguzi unaondelea umefanikisha kukamatwa kwa container 256 zilizojazwa mchanga wenye madini ya dhahabu.
Polepole tutakuelewa mhe Rais
Sijataka source, nataka picha ya kontena, lenye mchanga wenye dhahabu ndani. Vyote vioneshwe kwenye picha/ clip
Kesho picha zitafuata, subiri nadhani wale nyumbu mtajinyonga maana hamuamini km tunakwenda ktk pato la katiSijataka source, nataka picha ya kontena, lenye mchanga wenye dhahabu ndani. Vyote vioneshwe kwenye picha/ clip
... Msemaji wao anasema ni copper concentrate na siyo mchanga wa dhahabu, wataalam mkuje... Source ITV news saa mbili leoLeo ukaguzi unaondelea umefanikisha kukamatwa kwa container 256 zilizojazwa mchanga wenye madini ya dhahabu.
Polepole tutakuelewa mhe Rais
Sasa tumuelewe kisa mchanga hahahahaLeo ukaguzi unaondelea umefanikisha kukamatwa kwa container 256 zilizojazwa mchanga wenye madini ya dhahabu.
Polepole tutakuelewa mhe Rais