Ni nani anayemlinda Lipumba? Hongereni CUF

KISHADA

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
2,226
3,290
Yaani inashangaza sana. Taasisisi kama CUF ,chama ambacho kimesajiliwa na kukidhi vigezo vyote kimekuwa na kukomaa kisiasa, kina katiba muruwa miongoni mwa vyama vya upinzani, kina uzoefu, kina wabunge na kina heshima kimataifa. Chama kimetowa mchango wa demokrasia hapa Tanzania na kimetowa mchango wake kwa maendeleo ya taifa. Ni chama ambacho kimewahi kuwa chama kikuu cha Upinzani Tanzania na kilishawahi kuingia katika ushirika wa kuongoza serikali kule Zanzibar mwaka ,2010-2015.

Chama kimetowa mwelekeo wa siasa za kistaarabu na utatuzi wa migogoro kwa njia ya kidiplomasia badala ya mabavu(miafaka ya Zanzibar) na mdau kwa njia moja ama nyengine kwa serikali na amani ya nchi.

Inashangaza leo uimara wote huo inakuwaje anatokea mtu kama Profesa LIPUMBA anafanya haya anayofanya na bado anatazamwa nani anampa jeuri hii?

Hivi serikali iliyopo inapendezwa na haya kweli ? hebu fikiria haya.

- Lipumba alivamia mkutano halali mkuu wa CUF pale Blue Pearl na kufanya uharibifu mkubwa na hakujificha, kitendo cha kuhatarisha amani na usalama wa wazi nani alimbeba mpaka walau hata kuhojiwa Polisi kwa alichokifanya kushindikana kuna nini?

- Lipumba alivamia ofisi za chama Buguruni na kuikalia ilihali alishasimamishwa kuwa mwanachama tena kwa vikao halali vya chama vilivyowekwa kwa katiba yao. Alivamia na wahuni kadhaa kupiga walinzi na KUJERUHI Dola haikushughulishwa na hilo walau kuhojiwa ?

- Hivi Leo lipumba hajui utaratibu wa CUF ikiwa hukuridhishwa na maamuzi ? si alikata rufaa baraza kuu la Uongozi imekuwaje leo anafanya hujuma za wazi halafu taasisi zenye mamlaka ya kumshughulikia ziko kimya ? Iko wapi mahkama leo imeshindwa hata kuonya kuwa kesi iko mahakamani juu ya shauri lake la Uenyekiti lakini anaachwa afanye hujuma kwa nini ? Hata suala la Jaji Kihiyo kugoma kuacha kuwa hakimu kwa kukataliwa na bodi ya wadhamini wa CUF, mahakama imeshindwa kutoa mwongozo na Lipumba anapata muda wa kufanya hujuma wakati shauri lake linapigwa danadana na kIHIYO?

- Lipumba anafanya wizi wa fedha kwa njia za wazi. Lipumba alishafukuzwa uanachama na vikao halali, shauri liko mahkamani bado la uenyekiti wake lakini anashirikiana na msajili wa vyama anakwapua ruzuku, anahamishia akaunti nje ya utaratibu wa CUF, anapewa msaada na watu wa serikali kufanikisha haya. Sasa tusemeje huku nje yote haya anayafanya kwa nguvu za malaika?

-Sasa amefika mbali, anateuwa na kuenguwa kama rais magufuli afanyavyo, anatoa matamko. Hii ni surbotage ya wazi. Taasisi za haki ziko kimya, Hakuna MASHIKO YA ANACHOKIFANYA, ANAVUNJA SHERIA na kuharibu taswira ya CUF, ameachwa na kulindwa afanye atakavyo hata pale anapohatarisha usalama kuna nini nyuma ya Lipumba ?

- Yaani kesi iko mahakamani haijatiolewa uamuzi juu ya nafasi yako halafu mahakama inakuacha kutumia cheo hicho tena nje ya katiba ya chama iliyopo kufanya unavyotaka na kukuacha uvunje hata taratibu .

- Dhambi hii haitapita bure kamwe, wanaofikiri kuwa eti CUF acha isambaratike kwa kumpa ushirikiano Lipumba na kusaidia kwenye hila zake wasidhani hawajulikani na iko siku watalipa madhambi yao.

TUIPONGEZE CUF.

Uimara wenu ni wa kupongezwa kwamba licha ya dhoruba hii hamjababaika na kufanya maamuzi nje ya utaratibu wa chama chenu. Sisi wapenda haki tunakupongezeni sana.

Tunawasifu kwa kuwa na uongozi imara wenye maono na mikakati imara ya kuivusha CUF kwa mgogoro huu wa makusudi uliotengenezwa kuweza kutumia mbinu muhimu ya kisiasa " ESCAPE THE EVILS" badala ya " PHYSICAL ATTACKING" na heshima kwenu.

Mbinu hii imeepuka lengo chafu lilokusudiwa la kumwaga damu. Nilifurahi namna mlivyoepusha kumwaga damu pale Blue Pearl kwa walinzi wa chama kuamuwa kuwakinga viongozi na kuwatoa nje na sio kupambana, nilifurahi pale Buguruni kwenye uvamizi mlivyoondowa vifaa vyenu na kumuachia Lipumba Ofisi na nyie kufunguwa ofisi nyengine. Nilifurahi siku ya kutajwa kesi ya Lipumba mara ya pili mlivyowazuwiya wafuasi wenu wasihudhurie wengi ili kuepusha fujo na kuchomwa visu kama ile siku ya kutajwa kesi ya awali.

Nimefurahi kutomjadili Lipumba personaly na kumshambulia, mmemuacha ajimalize mwenyewe ile hadhi ndogo mliyombakishia na si muda mrefu mtajipongeza kwa kazi kubwa mliyofanya.

Watanzania wanafuatilia majaribu haya kwa kina na wale wenye dhamana wajuwe kuwa hapa wametengeneza PRECEDENCE mbaya. Makosa ya jinai hayavumiliwi eti mpaka CUF ipasuke wakati kuna watu akina Lipumba wanafanya makosa hayo kwa uwazi.

Kishada.
 
Wewe unalalamika tu huna facts habari ndefu imekosa uchambuzi. Mzee maalim hana ustaarabu. Amemfukuza na kumvua uwanachama lipumba mara ngapi? Lipumba ni mstaaRabu sana.
Ungejaribu kutoa huo uchambuzi wako basi .
 
Hongera cuf kwa kitu gani hasa?

Wakati sasa kuna cuf pemba na cuf buguruni
 
Hapana. Inaonesha wewe unatamani iwe hivyo. Usiwe mvivu wa kusoma pituia kamati tendaji iliyo rasmi ya CUF, Baraza lake kuu na Bodi ya Wadhamini halafu rudi tena hapa.
 
Tukubali tukatae, UKAWA(ambayo kimsingi ni chadema) ndiyo imeiua CUF makusudi kabisa ili chadema kiwe chama kikuu cha upinzani.

Ushahidi ni jinsi Lowassa alivyoingilia maswala ya ndani ya cuf na kumuweka maalim kua msamizi wa interest zake.

Inawezekana Prof amenunuliwa na ccm, ila nina uhakika amekimbilia kule kulinda chama chake dhidi ya mbinu chafu za kutaka kumpindua.

Game ilikua hivyo, na prof ameibuka mshindi kwa mchezo mchafu waliouanzisha maalim and co.
 
Na leo ndio nimeamini kwamba mtu unaweza ukatengeneza uongo ukauishi mpaka na wewe mwenyewe ukatumbukia kuuamini kwamba ni ukweli!

Hivi ni nani asiyefahamu mbinu za chadema kutaka kuiua cuf mpaka mkaiita chama cha mashoga?

Ona sasa mmetengeneza cuf ya maalim na kujibaraguza kua mnaionea huruma cuf alafu then mmejikuta mnaionea huruma kweli!!
 
CUF inajisambaratisha yenyewe.Wanashindwa nini kuelewana? Waache waendelee hivyohivyo wakija kushtuka ni 2021 labda ndiyo watapata akili.
 
Yaani inashangaza sana. Taasisisi kama CUF ,chama ambacho kimesajiliwa na kukidhi vigezo vyote kimekuwa na kukomaa kisiasa, kina katiba muruwa miongoni mwa vyama vya upinzani, kina uzoefu, kina wabunge na kina heshima kimataifa. Chama kimetowa mchango wa demokrasia hapa Tanzania na kimetowa mchango wake kwa maendeleo ya taifa. Ni chama ambacho kimewahi kuwa chama kikuu cha Upinzani Tanzania na kilishawahi kuingia katika ushirika wa kuongoza serikali kule Zanzibar mwaka ,2010-2015.

Chama kimetowa mwelekeo wa siasa za kistaarabu na utatuzi wa migogoro kwa njia ya kidiplomasia badala ya mabavu(miafaka ya Zanzibar) na mdau kwa njia moja ama nyengine kwa serikali na amani ya nchi.

Inashangaza leo uimara wote huo inakuwaje anatokea mtu kama Profesa LIPUMBA anafanya haya anayofanya na bado anatazamwa nani anampa jeuri hii?

Hivi serikali iliyopo inapendezwa na haya kweli ? hebu fikiria haya.

- Lipumba alivamia mkutano halali mkuu wa CUF pale Blue Pearl na kufanya uharibifu mkubwa na hakujificha, kitendo cha kuhatarisha amani na usalama wa wazi nani alimbeba mpaka walau hata kuhojiwa Polisi kwa alichokifanya kushindikana kuna nini?

- Lipumba alivamia ofisi za chama Buguruni na kuikalia ilihali alishasimamishwa kuwa mwanachama tena kwa vikao halali vya chama vilivyowekwa kwa katiba yao. Alivamia na wahuni kadhaa kupiga walinzi na KUJERUHI Dola haikushughulishwa na hilo walau kuhojiwa ?

- Hivi Leo lipumba hajui utaratibu wa CUF ikiwa hukuridhishwa na maamuzi ? si alikata rufaa baraza kuu la Uongozi imekuwaje leo anafanya hujuma za wazi halafu taasisi zenye mamlaka ya kumshughulikia ziko kimya ? Iko wapi mahkama leo imeshindwa hata kuonya kuwa kesi iko mahakamani juu ya shauri lake la Uenyekiti lakini anaachwa afanye hujuma kwa nini ? Hata suala la Jaji Kihiyo kugoma kuacha kuwa hakimu kwa kukataliwa na bodi ya wadhamini wa CUF, mahakama imeshindwa kutoa mwongozo na Lipumba anapata muda wa kufanya hujuma wakati shauri lake linapigwa danadana na kIHIYO?

- Lipumba anafanya wizi wa fedha kwa njia za wazi. Lipumba alishafukuzwa uanachama na vikao halali, shauri liko mahkamani bado la uenyekiti wake lakini anashirikiana na msajili wa vyama anakwapua ruzuku, anahamishia akaunti nje ya utaratibu wa CUF, anapewa msaada na watu wa serikali kufanikisha haya. Sasa tusemeje huku nje yote haya anayafanya kwa nguvu za malaika?

-Sasa amefika mbali, anateuwa na kuenguwa kama rais magufuli afanyavyo, anatoa matamko. Hii ni surbotage ya wazi. Taasisi za haki ziko kimya, Hakuna MASHIKO YA ANACHOKIFANYA, ANAVUNJA SHERIA na kuharibu taswira ya CUF, ameachwa na kulindwa afanye atakavyo hata pale anapohatarisha usalama kuna nini nyuma ya Lipumba ?

- Yaani kesi iko mahakamani haijatiolewa uamuzi juu ya nafasi yako halafu mahakama inakuacha kutumia cheo hicho tena nje ya katiba ya chama iliyopo kufanya unavyotaka na kukuacha uvunje hata taratibu .

- Dhambi hii haitapita bure kamwe, wanaofikiri kuwa eti CUF acha isambaratike kwa kumpa ushirikiano Lipumba na kusaidia kwenye hila zake wasidhani hawajulikani na iko siku watalipa madhambi yao.

TUIPONGEZE CUF.

Uimara wenu ni wa kupongezwa kwamba licha ya dhoruba hii hamjababaika na kufanya maamuzi nje ya utaratibu wa chama chenu. Sisi wapenda haki tunakupongezeni sana.

Tunawasifu kwa kuwa na uongozi imara wenye maono na mikakati imara ya kuivusha CUF kwa mgogoro huu wa makusudi uliotengenezwa kuweza kutumia mbinu muhimu ya kisiasa " ESCAPE THE EVILS" badala ya " PHYSICAL ATTACKING" na heshima kwenu.

Mbinu hii imeepuka lengo chafu lilokusudiwa la kumwaga damu. Nilifurahi namna mlivyoepusha kumwaga damu pale Blue Pearl kwa walinzi wa chama kuamuwa kuwakinga viongozi na kuwatoa nje na sio kupambana, nilifurahi pale Buguruni kwenye uvamizi mlivyoondowa vifaa vyenu na kumuachia Lipumba Ofisi na nyie kufunguwa ofisi nyengine. Nilifurahi siku ya kutajwa kesi ya Lipumba mara ya pili mlivyowazuwiya wafuasi wenu wasihudhurie wengi ili kuepusha fujo na kuchomwa visu kama ile siku ya kutajwa kesi ya awali.

Nimefurahi kutomjadili Lipumba personaly na kumshambulia, mmemuacha ajimalize mwenyewe ile hadhi ndogo mliyombakishia na si muda mrefu mtajipongeza kwa kazi kubwa mliyofanya.

Watanzania wanafuatilia majaribu haya kwa kina na wale wenye dhamana wajuwe kuwa hapa wametengeneza PRECEDENCE mbaya. Makosa ya jinai hayavumiliwi eti mpaka CUF ipasuke wakati kuna watu akina Lipumba wanafanya makosa hayo kwa uwazi.

Kishada.
Kasome katiba ya CUF ndio ujiulize jeuri anaitoa wapi umesema CUF wana katiba murua na katiba hiyo murua ndio inayotoa mwanya kwa lipumba kufanya anayofanya
 
Tukubali tukatae, UKAWA(ambayo kimsingi ni chadema) ndiyo imeiua CUF makusudi kabisa ili chadema kiwe chama kikuu cha upinzani.

Ushahidi ni jinsi Lowassa alivyoingilia maswala ya ndani ya cuf na kumuweka maalim kua msamizi wa interest zake.

Inawezekana Prof amenunuliwa na ccm, ila nina uhakika amekimbilia kule kulinda chama chake dhidi ya mbinu chafu za kutaka kumpindua.

Game ilikua hivyo, na prof ameibuka mshindi kwa mchezo mchafu waliouanzisha maalim and co.

Matokeo ya Uchaguzi halali wa Zanzibar unayajua?.
Hapo ndio utajua nguvu ya Lowasa na umuhimu wa Ukawa.
Lipumba hana athari yoyote maana wananchi wanajua anachokifanya.
 
Kuna baba mmoja anaitwa msajili wa vyama vya siasa ndiye anaemhalalisha Prof. kuwa mwenyekiti wa CUF ili kuinyonga CUF kwani hasa kule Zenj CCM iko gizani na hawawezi kurudia ya Jecha tena hivyo kwao afadhali CUF ife au waifute. Remote iko kwa yule baba anae chukia upinzani hataki hata wafanye siasa.
Lipumba ni rafiki wa CCM rejea hotuba yake kule alikosema ilibidi afanye makubwa ili kumuokoa "mwenzetu". Alikuwa ana invest CCM na sasa investment yake italipa kama CUF (isiyo ya Lipumba) itasinzia.
 
Yaani inashangaza sana. Taasisisi kama CUF ,chama ambacho kimesajiliwa na kukidhi vigezo vyote kimekuwa na kukomaa kisiasa, kina katiba muruwa miongoni mwa vyama vya upinzani, kina uzoefu, kina wabunge na kina heshima kimataifa. Chama kimetowa mchango wa demokrasia hapa Tanzania na kimetowa mchango wake kwa maendeleo ya taifa. Ni chama ambacho kimewahi kuwa chama kikuu cha Upinzani Tanzania na kilishawahi kuingia katika ushirika wa kuongoza serikali kule Zanzibar mwaka ,2010-2015.

Chama kimetowa mwelekeo wa siasa za kistaarabu na utatuzi wa migogoro kwa njia ya kidiplomasia badala ya mabavu(miafaka ya Zanzibar) na mdau kwa njia moja ama nyengine kwa serikali na amani ya nchi.

Inashangaza leo uimara wote huo inakuwaje anatokea mtu kama Profesa LIPUMBA anafanya haya anayofanya na bado anatazamwa nani anampa jeuri hii?

Hivi serikali iliyopo inapendezwa na haya kweli ? hebu fikiria haya.

- Lipumba alivamia mkutano halali mkuu wa CUF pale Blue Pearl na kufanya uharibifu mkubwa na hakujificha, kitendo cha kuhatarisha amani na usalama wa wazi nani alimbeba mpaka walau hata kuhojiwa Polisi kwa alichokifanya kushindikana kuna nini?

- Lipumba alivamia ofisi za chama Buguruni na kuikalia ilihali alishasimamishwa kuwa mwanachama tena kwa vikao halali vya chama vilivyowekwa kwa katiba yao. Alivamia na wahuni kadhaa kupiga walinzi na KUJERUHI Dola haikushughulishwa na hilo walau kuhojiwa ?

- Hivi Leo lipumba hajui utaratibu wa CUF ikiwa hukuridhishwa na maamuzi ? si alikata rufaa baraza kuu la Uongozi imekuwaje leo anafanya hujuma za wazi halafu taasisi zenye mamlaka ya kumshughulikia ziko kimya ? Iko wapi mahkama leo imeshindwa hata kuonya kuwa kesi iko mahakamani juu ya shauri lake la Uenyekiti lakini anaachwa afanye hujuma kwa nini ? Hata suala la Jaji Kihiyo kugoma kuacha kuwa hakimu kwa kukataliwa na bodi ya wadhamini wa CUF, mahakama imeshindwa kutoa mwongozo na Lipumba anapata muda wa kufanya hujuma wakati shauri lake linapigwa danadana na kIHIYO?

- Lipumba anafanya wizi wa fedha kwa njia za wazi. Lipumba alishafukuzwa uanachama na vikao halali, shauri liko mahkamani bado la uenyekiti wake lakini anashirikiana na msajili wa vyama anakwapua ruzuku, anahamishia akaunti nje ya utaratibu wa CUF, anapewa msaada na watu wa serikali kufanikisha haya. Sasa tusemeje huku nje yote haya anayafanya kwa nguvu za malaika?

-Sasa amefika mbali, anateuwa na kuenguwa kama rais magufuli afanyavyo, anatoa matamko. Hii ni surbotage ya wazi. Taasisi za haki ziko kimya, Hakuna MASHIKO YA ANACHOKIFANYA, ANAVUNJA SHERIA na kuharibu taswira ya CUF, ameachwa na kulindwa afanye atakavyo hata pale anapohatarisha usalama kuna nini nyuma ya Lipumba ?

- Yaani kesi iko mahakamani haijatiolewa uamuzi juu ya nafasi yako halafu mahakama inakuacha kutumia cheo hicho tena nje ya katiba ya chama iliyopo kufanya unavyotaka na kukuacha uvunje hata taratibu .

- Dhambi hii haitapita bure kamwe, wanaofikiri kuwa eti CUF acha isambaratike kwa kumpa ushirikiano Lipumba na kusaidia kwenye hila zake wasidhani hawajulikani na iko siku watalipa madhambi yao.

TUIPONGEZE CUF.

Uimara wenu ni wa kupongezwa kwamba licha ya dhoruba hii hamjababaika na kufanya maamuzi nje ya utaratibu wa chama chenu. Sisi wapenda haki tunakupongezeni sana.

Tunawasifu kwa kuwa na uongozi imara wenye maono na mikakati imara ya kuivusha CUF kwa mgogoro huu wa makusudi uliotengenezwa kuweza kutumia mbinu muhimu ya kisiasa " ESCAPE THE EVILS" badala ya " PHYSICAL ATTACKING" na heshima kwenu.

Mbinu hii imeepuka lengo chafu lilokusudiwa la kumwaga damu. Nilifurahi namna mlivyoepusha kumwaga damu pale Blue Pearl kwa walinzi wa chama kuamuwa kuwakinga viongozi na kuwatoa nje na sio kupambana, nilifurahi pale Buguruni kwenye uvamizi mlivyoondowa vifaa vyenu na kumuachia Lipumba Ofisi na nyie kufunguwa ofisi nyengine. Nilifurahi siku ya kutajwa kesi ya Lipumba mara ya pili mlivyowazuwiya wafuasi wenu wasihudhurie wengi ili kuepusha fujo na kuchomwa visu kama ile siku ya kutajwa kesi ya awali.

Nimefurahi kutomjadili Lipumba personaly na kumshambulia, mmemuacha ajimalize mwenyewe ile hadhi ndogo mliyombakishia na si muda mrefu mtajipongeza kwa kazi kubwa mliyofanya.

Watanzania wanafuatilia majaribu haya kwa kina na wale wenye dhamana wajuwe kuwa hapa wametengeneza PRECEDENCE mbaya. Makosa ya jinai hayavumiliwi eti mpaka CUF ipasuke wakati kuna watu akina Lipumba wanafanya makosa hayo kwa uwazi.

Kishada.
Chama kina wanachama kama nao wameridhika na utawala wa Prof Lipumba unataka Serikali afanye nini.

Mbona tunapenda sana kila kitu kufanya assumption tu kuwa si bure.
 
Back
Top Bottom