Chanzo?Mmoja afariki, 2 wajeruhiwa Majohe baada kuangukiwa na mti kutokana na mvua zinazonyesha Dar, Polisi yasema. Nyumba 82 zaharibiwa eneo hilo.
Mtoa mada elezea majohe ipi maana majohe ni kubwaUnamaanisha Mpigi Majohe ukiwa unaelekea mbezi tokea ubungo
Kuna majohe na mpigi magoe. Sehemu mbili tofautiUnamaanisha Mpigi Majohe ukiwa unaelekea mbezi tokea ubungo??
MUNGU azilaze roho ya Marehemu mahala pema pepon