Recent content by Ngolo Mseka

  1. N

    JamiiForums Tanzania Msumbiji yazitaka nchi jirani kusaidia kukabiliana na Wanamgambo, yasema mashambulizi yanaweza kusambaa ukanda mkubwa zaidi

    Je lile fundisho la kuua kafiri uende peponi siku hizi hamnalo?au ni watu tu walijitungia
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msumbiji yazitaka nchi jirani kusaidia kukabiliana na Wanamgambo, yasema mashambulizi yanaweza kusambaa ukanda mkubwa zaidi

    Mnajua kujitetea,wangekuwa wanajitaja wakristo mngebwabwaja wee,hao wenzenu tu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msumbiji yazitaka nchi jirani kusaidia kukabiliana na Wanamgambo, yasema mashambulizi yanaweza kusambaa ukanda mkubwa zaidi

    Umeuliza swali zuri,anatudanganya huyu.Hao watu wako nchi kibao hata zisizo na wese
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msumbiji yazitaka nchi jirani kusaidia kukabiliana na Wanamgambo, yasema mashambulizi yanaweza kusambaa ukanda mkubwa zaidi

    Msiwasingizie mabeberu aisee,ni upumbavu wa hao rafiki zenu.Ni ujinga wao tu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumuombee sana Lissu

    Hahahhaa nimecheka sana
  6. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumuombee sana Lissu

    Yaani tatizo mnajazwa ujinga na nyie bila kuchuja mnajazika.Hivi hao mnaowaita mabeberu do you know nyie ndo nchi ya tatu Africa kupewa misaada yao,kama hujui bora kunyamaza kuliko kuandika ujinga
  7. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumuombee sana Lissu

    Wewe Ziro kweli, usitudanganye hapa na elimu yako ya darasa la sita bii. Eti anaweza kuuawa, shenzi type
  8. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumuombee sana Lissu

    Boya huwa anawaita wasio maboya kuwa ni maboya.Pole sana boya mkuu naona unateseka,na bado,mzimu wa uchaguzi huu utawatesa kila mmoja kwa nafasi yake hadi kaburini
  9. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

    Jidanganye, endelea tu kusifia kama ilivyo ada yenu praise team.Subiri nyakati zinakuja, utakula panzi kwa kutowezea na supu ya mizizi
  10. N

    JamiiForums Tanzania Lissu nilikuonya Amsterdam anakuharibia hukusikia, sasa umevuna ulichopanda!

    Waambie hawa viazi
  11. N

    JamiiForums Tanzania Lissu nilikuonya Amsterdam anakuharibia hukusikia, sasa umevuna ulichopanda!

    Wewe akili yako ni matope,unawazia tumboni kule kwenye haja kubwa.Kama mnajiamini si mngeacha uchaguzi ukawa huru na wa haki?chama chenu kimechokwa si mjini tu hadi vijijini na maporini kusiko hata na barabara. Mmepora uchaguzi halafu sijui Robert Amsterdam anahusikaje na zile kura zenu kwenye...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Dkt. Magufuli-Pongezi kwako!

    Hapo sasa,watu wengine bwana hahahahaha kamchukua Mzee mwinyi,akamsample na Mzee Mkapa na Nyerere then akadraw conclusion.Ushamba huoo
  13. N

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Dkt. Magufuli-Pongezi kwako!

    Mtu ambaye mikono imetapakaa damu za watu halafu lunatudanganya Mungu sijui nini.Soon atavuna alichopanda
  14. N

    JamiiForums Tanzania President John Magufuli: A Model Leader in Africa for Employing Science in Politics

    This whole magazine is more than useless.Full of lies and wrong praises.Shame to the writer for this idiotic thing
Back
Top Bottom