Recent content by Ngokoki

  1. N

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam yatajwa miongoni mwa majiji kumi Afrika yanayokua kwa kasi zaidi

    Sasa hapa Samia unampongeza kwa lipi? Acha kujipendekeza
  2. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Matamanio ya IGP Sirro anayosema amejifunza Rwanda kuhusu Polisi kuingia Misikitini na Makanisani na kuandaa mitaala ni kinyume na Katiba

    Hivi unaakili kweli wewe? Umesahau kwamba Mbowe yupo mahabusu kwa kesi za kusingiziwa? Na umesahau kwamba Lissu alipigwa lisasi za kutosha na hakuna pelelezi wowote uliowahi kufanywa?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Geto la msichana ni la kuogopa kabisa

    Ha bwana ahsante kwa kutoa ushauri
  4. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuingia madarakani ni ngumu kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano

    Njia nyingine ipi comredi
  5. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuingia madarakani ni ngumu kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano

    Ujinga nao ni mzigo, hivi mpaka haujui kwamba policcm wamezuia mikutano ya ndani na ya hadhara kwa wapinzani tu? Yaani hujui kabisa ?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Zijue njia kuu wanazotumia CCM kubaki madarakani

    We comredi unaukumbuka ule uchafuzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2019?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Zijue njia kuu wanazotumia CCM kubaki madarakani

    Wewe ndo mnufaika namba one kwenye utawala huu usiotokana na kura za wananchi
  8. N

    JamiiForums Tanzania Rais hajui kuzungumza na wananchi, ziara za njiani zisitishwe

    Hakujiandaa kuwa Ràis hivyo msimlaumu vumilieni tu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Zijue njia kuu wanazotumia CCM kubaki madarakani

    Loo hapa umegonga penyewe kabisa,sasa suluhisho la hayo yote ni katiba mpya neno ambalo fisi emu au ccm hawataki hata kulisikia kabisa Wao katiba mpya ni hatari kwa uhai wa chama chao
  10. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuingia madarakani ni ngumu kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano

    Kwanza chadema ni chama kinachopendwa na watu wengi kuliko hata ccm , ukibisha ebu waambie waruhusu mikutano ndo utajua
  11. N

    JamiiForums Tanzania Magu, Mwanza: Rais Samia ashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania, atawazwa kuwa Chifu wa Machifu

    Rais na waziri mkuu wanazidi kukusanya watu hawajali korona lakini wakijaribu wapinzani wanakamatwa Mara moja!
Back
Top Bottom