Wewe ndo mnufaika namba one kwenye utawala huu usiotokana na kura za wananchiHaya malalamiko na upuuzi ulioandika hapa tumeshauzoea. Na kwa kukuhakikishia angalia hata comment hapa zitakuwa ndogo mno na uzi utapotea.
Tatizo kila mchumia tumbo na mwenye stress za maisha kutokana na uzembe wake wa kutotafuta kazi anajifanya yeye mpinzan kindaki ndaki na ana uchungu kuliko watoto wa viongozi wa upinzani ambao huwezi kuwaona mitandaoni wakipost ujinga kama mleta mada.