Recent content by ngoka ken

  1. N

    JamiiForums Tanzania Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Mkuu upo serious huoni jua lina move asubuhi linakuwa mashariki mchana utosini na jioni magharibi tuache ubishi usio na tija
  2. N

    JamiiForums Tanzania Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Sayansi ya kusema kuna kuta alafu unazuiiwa kwenda ni sayansi ya namna gani?
  3. N

    JamiiForums Tanzania IDF yahamisha wagonjwa kutoka hospitali moja huko Gaza baada ya hospitali hiyo kuhisiwa kuwa ni kambi na handaki la Hamas

    Mkristu mwenye timamu ameshakimbia gaza mdamrefu sasababu anajua jinsigani gaza itafanywa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kipi bora Iran ifanye ili ipate ushindi na kutoa funzo kwa Israel?

    hakuna iyo aya labda utumi hadith za kubumba zisizo na dalili kama zile za kusema mtume alikuwa anachuchumaa akikojoa na kuvaa nguo za bi aisha anapo pokea ufunuo😄
  5. N

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kipi bora Iran ifanye ili ipate ushindi na kutoa funzo kwa Israel?

    usisome quran kwa jaziba soma almaida 20 israel kajaliwa kiliko walimwengu wote hakuna aya ktk quran allah kapora baraka kwa israel kama ipo ilete aya kuwa wamenemeshwa kuliko walimwengu wote ipo allah yehova amesha wapa hekima maarifa na utawala haitabatilika hadi kiama
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mungu Hailindi Israel Tena, Israel inalindwa na Marekani na Mataifa ya Ulaya

    hiyo inaeleweka wao walipata neema ya kumjua mungu kwanza na walikuwa na agano nae kabla hivyo huwezi kuwahukumu mana wao katika ufalme wa mungu wanao mlango wao tafauti na sisi tulio mjua mungu kwa hadith
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mungu Hailindi Israel Tena, Israel inalindwa na Marekani na Mataifa ya Ulaya

    ww ndio unaelimu ndogo yan ulitaka mungu ashike mtutu akae pale yerusalem mungu hufanya kazi zake kupitia watu unajua ni nguvu gani inayo fanya mataifa makubwa yamlinde israel umesahau kipindi cha waamuzi mungu alimteuwa samsoni/mtu kuwa jabali la israeli na aliwatesa sana waphilist kwa vipigo...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Taifa la Israel linalindwa na Mungu (Mungu hufanya kazi pamoja na wanadamu)

    mungu wao alisha wasamehe pale yesu alipo sema baba uwasamehe kwa kuwa hawajui walitendalo ndio mana hatakatika msafu unapata allah anasema walineemeshwa kuliko walimwengu wote myahudi umuwezi anamaagano ya moja kwa moja na yehova mungu wa kweli ndio mana pia hata manabii wengi katika msafu ni...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kipi bora Iran ifanye ili ipate ushindi na kutoa funzo kwa Israel?

    kwa uwezo wa allah alie ijalia israel maarifa makubwa sana israeli itawapiga hao makafiri walio ungana mpaka watakapo mtambuwa allah wa kweli alie jitambulisha kwa jina la yehova kwa mababu wa israel huku akijinadi kuwa yeye ni bwana wa vita
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ubungo: Wanawake 36 wanaodai kukamatwa na kudhalilishwa kuwa "Dada Poa" kumfikisha mahakamani DC Hassan Bomboko na kumdai Fidia ya Tsh. Bilioni 36!

    kwa mujibu wa sheria za nchi uzinzi maana yake ni nn? sheria ya nchi inaruhusu kufanya ngono na mwanamke asiye mke wako alimradi mmelidhiana sasa utasemaje mtu anajiuza?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wapalestina watafute njia nyingine kudai amani Israel itawasafisha

    Elimu ya madrasa hii taja wafalume angalau 10 wapalestina kabla ya kristu ktk kitu wisrael wapi makini ni records za koo vizazi na tawala zao
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wapalestina watafute njia nyingine kudai amani Israel itawasafisha

    Palestina nitaifa jipya haliba historia yakuwa taifa kabla ya kristo
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa

    Marejeo ya walio potea mana mwisho kabisa atatia unyayo weke kwenye jehanamu kisha viungi vyake vitashikamana nakusinyaaa
  14. N

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa

    Muwe mnasoma qurani yenu vizuri kama issa kwa mujibu wa qurani yenu ni neno la mungu sasa mbona usiulize mashekhe wako kuwa kati ya neno la mungu na marium na yusuphu kipi kilitangulia kuwapo?
  15. N

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa

    Mbona unanza jaziba jibu hoja mbona na ww mungu wako na malaika zake? Wana mswalia mtume Ila yesu akiswali hutaki ila allah ndio rukisa kumswalia mtume soma qurani 33:36
Back
Top Bottom