mkuu usikate tamaa endelea kukomaa tu Mbona Ushindi upo kwako.Kwa maelezo yako licha ya mapungufu unayoyahisi kwako ndio sifa za ziada anazozipenda kwako.
mkuu usikate tamaa endelea kukomaa tu Mbona Ushindi upo kwako.Kwa maelezo yako licha ya mapungufu unayoyahisi kwako ndio sifa za ziada anazozipenda kwako.
mkuu huyu hana maana yoyote hajui hata anachohitaji tumsaidie.Pengne ana chuki binafsi na Le profesor Lipumba na pia ajue wazi ktk siasa hakuna rafiki au adui wa kudumu.Kama Chadema na Cuf wameungana si ni jambo jema tuwaunge mkono kuijenga democrasia?
Pole dada yangu jitahidi kuvumilia jamaa atakuja tu cha msingi usimuoneshe kuwa unafahamu alipokuwa ili umsome na kumchunguza kwa kina na utakapojiridhisha hapo ndipo utachukua maamuzi sahihi.
Matusi yapi hayo? Au kuambiwa ukweli ndio matusi? Ondoa hoja mfu mkuu.Mama Nyerere akiambatana na familia yake wamewakubali Ukawa kwa kutambua hoja za msingi zinazobeba maslahi ya wananchi walio wengi na ndio uliokuwa msimamo wa baba wa Taifa.
Acha hizo mkuu! Mama anajitambua,anaona yote,anaongea kutoka moyoni na kushangaa jinsi nchi inakopelekwa na wanasiasa wachache,ving'ang'anizi wa madaraka,waongo na mafisadi kwa nchi yao.Ngoja tusubiri huo ujumbe mzito wa siri aliompa Jemadari Slaa utakaochochea kuikomboa nchi hii dhidi ya...
Hilo nalo ni neno mkuu lakini endapo mume wake hatamuamin na akamuamini mkewe hiyo si ni kesi nyingne? Bora amukaange kwa mke wake tu ili yeye abaki sehemu salama.
Tulia,kuwa mpole,nyenyekea,badilika na omba Mungu kwan sasa tumeshagundua kuwa hauko kama tunavyokuona.Hivyo nina imani kuanzia sasa utawaona wenye nia ya dhati ili msukume pamoja maisha ya raha yaliyobakia hapa duniani.
Watanzania tuko nyuma yao kusikiliza na kuona kile nguli wa siasa za Tanzania watakavyotueleza.Ningependa makatibu wakuu wote wa vyama tajwa wanahudhuria mdahalo huo na sio kutuma wawakilishi ambao hupunguza ladha ya mdahalo.
Ccm kukubaliana na maoni ya wananchi na Ukawa ndio kete ya mwisho ambayo ataitoa yule yule kigeu geu ambaye hugeuka wenzake pindi wanapokubaliana ndugu Jk.
Acha hizo mkuu.Mawazo ni kamanda na kiongozi shupavu anayejituma kukomboa wananchi wanyonge hususani wa vijijini.wewe ulitaka asiwasikilize na kuwatetea mbele ya watawala wasio na huruma na wananchi?
Hongera kamanda Mawazo kwa kuchaguliwa kuongoza mkoa wa Geita.Sisi tuko nyuma yako kwa kila namna kuhakikisha ukombozi kamili wa mnyonge unapatikana Tanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.